@mtumebulldozermwamposa: Uwepo, maombi na upako vilikuwa juu sana! 🔥 Lakini LEO KUNA ZAIDI! Huwezi kufika Singida? Ungana nasi ONLINE, na jiunganishe na kile Mungu anachofanya leo. 🙏🏽🔥 Usikose upako wa leo!
Bulldozer Mwamposa
Region: TZ
Saturday 19 September 2026 13:05:57 GMT
Music
Download
Comments
Sarah Yenda :
Songela zigi zigi Mtumishi
2026-09-19 14:33:28
22
miryvox :
aiiiiiiiii singidaaa mpooooo jmn😂😂😂😂
2026-09-19 13:43:42
9
💲💎$TËV£💎💲 :
songela zigi zigi, apo ni uwanja upi
2026-09-20 10:37:19
10
Neema husseni158 :
baada ya kusikia Songela zigizigi nikaku follow kabisa 😂😂😂
2026-09-20 18:21:02
7
agust :
wanyramba tujuane
2026-09-20 12:58:21
5
mwajey :
wapo mpaka Lin nna mdogo ang anaumwa awezi tembea amepoa
2026-09-19 17:49:51
3
mnyiramba og🌻🌻🌻❤️❤️ :
ilikuwa nilihyo na singda sem gani nambhe nimtumie hel mama angu aende
2026-09-19 23:08:04
3
JAY B🐃669. :
Amen 🙏 nyumbani pafunguliwe
2026-09-20 15:18:03
1
it's me :
🥰songela zigizigi shekulu nzua wakuligwe
2026-09-19 18:09:33
14
mariammpinga0 :
songera zigi zigi aii
2026-09-20 05:14:13
3
Peter khan :
tunaomwamini mungu tujuane hapa
2026-09-23 11:44:47
2
Neema J. kitundu. :
songela zigizigi aninamba yane
2026-09-20 06:12:12
4
Dj kp :
Asante kwa kazi nime Fanya matangazo.
2026-09-19 21:19:48
2
Kabula Bubinza :
singida lazima upako ujae
2026-09-19 14:50:31
4
suzzbey :
singela baba nindoweee uw nzowa mkuluu saan
2026-09-20 15:07:59
0
Naya :
haijalishi niko wapi ila kupitia waliofunguliwa na mimi napokea upako huo huo Ameen
2026-09-21 09:08:43
1
Kidi Fayzon :
mhuni yupo singida apo
2026-09-20 22:16:17
1
userflora yesaya :
songela zigizig nzua mukende mudemi🥰🥰
2026-09-20 13:26:05
1
Happy Charles :
mungu akupe siku nyingi mtumr
2026-09-19 18:40:09
1
shufayna :
mama yangu yupo hapo anaamini sana maombiyako naamini kwauwezo wa mungu atapona
2026-09-20 19:45:12
1
Mom J❤❤ :
Aaamen
2026-09-19 18:28:19
1
loveness 🥰🥰 :
Songelaa zigi zig, ayiiiiiiiiiii😂😂😂😂😂😂😂😂nimepokea kwa jina la yesu
2026-09-21 03:47:04
1
Joselyn :
Songela nundowe Baba🙏🙏
2026-09-19 19:06:30
1
Jerrady 255 :
mtume Boniphase
2026-09-20 17:47:46
1
najez :
songelaa zigizigi Asante sana mtumixhi
2026-09-19 17:57:52
1
To see more videos from user @mtumebulldozermwamposa, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.