@omariykuba.com: Endelea kupumzika kwa amani huko ulipo, Rayan 🕊️💔. Hizi ndizo kumbukumbu zako tulizobaki nazo. Hii OUTSIDE ilikuwa nzuri sana, na itabaki kuwa kumbukumbu ya thamani katika mioyo yetu. Umetuacha mapema sana, lakini tutakukumbuka daima. Rest in Peace, Rayan 🕊️🤍@Remy kichwa runguu @🦋😜loly maah🦋 @mina baby❤✨ @2pac makaveli efx @rayan1234 @popy ceaut 💞💞💋