forever sana me wamkoani lakini tabia izo sina kabisaa
2026-09-19 14:09:38
3
Mavere OG :
nakubali xana
2026-09-19 13:31:43
3
suleyman :
mikoa gani sasa ww
2026-10-06 11:01:09
0
dizzo_ kids ☘️ :
Vtish ivo kaka leng umeon Mhbadi afanan
2026-09-20 17:25:50
1
*SELE BOBO* :
noma kaka ulimbuken wache 💯💯💯
2026-09-19 13:42:24
4
zube kizito :
ndo tulivyo watu wa mkoani
2026-09-21 17:21:52
2
🌟 BOYS STAR 🌟 :
kweli kaka unasema
2026-09-19 14:54:18
2
dresso texas🇪🇹 :
Cyo kila mtu anae Sema nimeaga ukajua labda anamaanisha ameloga Bali uwaga tunasema tulipo toka tumeaga kwa sababu family zetu zinajua tumeenda mbali kwa ajili ya kutafuta na inabidi tuludi na heshima nyumbani cyo maneno tyu,,,so kiufupi hatupendi mazoeya tunapo kuwa kujitafuta cose tunajua maisha tuliyo toka Hom sio safi🧠👈
2026-09-19 19:36:05
5
triple$A :
unaongeag pont san mkalii wang
2026-09-19 15:00:53
1
wanka wanka :
nakubali sana familia
2026-09-20 09:48:01
1
mtati og :
kwan mwanetu hyo safar mwisho wake wapi boy
2026-09-21 11:28:08
1
official sajutz :
sahihi bro
2026-09-21 20:00:51
2
𝑻𝒊𝒛𝒛𝒚 𝒐𝒓𝒈𝒚🔹 :
2026-09-19 14:25:49
2
fatherkocho 🙏🏼 :
waambie kaka✊️
2026-09-20 15:02:15
1
dogo djaden :
kwaeshima brother
2026-09-19 13:29:42
1
F~VALVERDE 🐅 :
mm kwetu nimeaga Aya utani fanya nn😂😂
2026-09-21 07:03:37
2
Msa :
mambo vp mani
2026-09-19 13:14:20
2
✊worldwide 👊45 hatucholeki 🫡 :
ety kwetu nimeagaaa🤣🤣🤣🤣
2026-09-19 13:45:37
2
OBAMA 47🎮🎮 :
wape somo kak
2026-09-19 13:19:48
4
Jonh Woker122 :
acha noma mwanetu unachamba sanaa
2026-09-19 13:15:24
2
feisalkhan☠️ :
na wew upo dar
2026-09-21 21:21:13
1
Mr Fogo :
apo sasa
2026-09-19 14:43:50
1
To see more videos from user @africanfanstwo, please go to the Tikwm
homepage.