@chandolaptops: Daaah 😭😭🙌🙌@iqram_zil0w #tanzaniantiktok🇹🇿 #rwandatiktok🇷🇼 #southafricatiktok🇿🇦 #ugandatiktok #kenyantiktok🇰🇪

CHANDO LAPTOP
CHANDO LAPTOP
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 19 September 2026 13:14:01 GMT
293771
23146
739
349

Music

Download

Comments

nuuh_90
Nuuh_❤️💍 :
hilo kofi kampiga kweli au ni maigizo jamani mbona kama sielewi
2026-09-19 13:22:35
413
neema.meena4
Nurse ney 💉 :
sasa ilo li mziki umeweka la nn ?mi sipendi mavitu yaingiliane
2026-09-19 13:58:24
287
eustersalvatory1
Euster❤💍😘 :
umetoa wapi huo ujasiri wa kumpiga mama Ako jamani 😪🙌💔
2026-09-19 17:39:06
40
roseamone0
Rose Amone :
mzazi hata hawe mbaya kiasi gani huwezi kumpiga hivyo ni laana
2026-09-19 15:58:28
97
momi3__rey
ᥫ᭡R£Y🎀 :
sijui ni nn huyu mama amefanya lkn hakupaswa kumpiga hilo kofi😩🥹 mzazi hakoseii
2026-09-20 06:47:38
16
fun_kidro
funkid :
no matter how worse mom be there is no any excuse in the God's name to lay even a penny thread on her! over
2026-09-20 08:00:03
0
preciouspurity600
precious🫀 :
Mungu anipe kuendelea kumpenda mama angu hata kweny mapungufu yak
2026-09-19 13:39:14
275
fatema.fatema7750
Fatema fatema 🌹🌹🌹 :
Ht iweje kanikosea vp kunizaa tosha ht km kanitupa barabarani ila cwezi thubutu mpiga mama
2026-09-20 04:14:36
7
marygracemwangosi
MARY WA GRACE♥️💦✨️💃 :
Is thi real or Ai
2026-09-19 22:49:35
0
elizabeth77161
Elizabeth😘 :
hilo kofi vp mbona nimejisikia vibaya😭😭😭😭
2026-09-19 13:58:34
19
hadiya.massud
mama lao :
ukimzarau mzazi utapata shida sana
2026-09-19 16:06:56
22
brinna153
🦋brinnah🌺🌷 :
Jmn hat kama mzazi kakukosea ila sio kumtandika mkofi kama hivy
2026-09-19 14:39:08
55
caizer133
caizer :
mhh fake slap nimeona
2026-09-19 17:10:41
0
sara.bby11
Sara bby :
next plz🥹🥹
2026-09-19 20:21:15
0
roynageorge
bby girl ❤️🥰💓🌹 :
mama ni mama hata Kam ni mchawi ila ni mama yako tyu
2026-09-19 14:02:33
37
dina.kimwa
Dina Kimwa :
sas kama ulimuacha mdogo sas hivi unamtafutia nn unajua mtt amepitia mangap ila kwa kumpiga sio sahihi mm ningeondoka tu
2026-09-19 17:52:25
8
bennyskawa3
Mr benny🦂🦂 :
mmmmmmmh
2026-09-19 21:49:54
0
happynes488
happyness charless :
natamn niwe na mama kuna wengine wanamchezea mama da!!!
2026-09-19 17:00:55
9
princess.prisca09
Princess prisca :
hana akili mim mam angu sijamuona tang nikiwa na 5yrs leo nin 21 alituacha na baba lakin namkumbuk nampend natamn nimwone sina hat kinyongo nae bab ang tu alikua tuende kumsalimia sijawai kuona
2026-09-19 14:21:55
19
khaimarkhamis61gmailcom
LAILAT :
dah hata haiweje mma angu siwezi mkosea ivo 🥺
2026-09-19 15:07:02
15
leizarboy
Leizar boy255🇹🇿 :
move inaitwaje maana ilo kofi umetuokota sana mwanetu
2026-09-19 17:40:13
8
evenetsamson
Evenet Samson 🇷🇼 🇧🇮 :
duh jaman hilo kofi nilaukweli au ni content kama nilaukweli namushauli amuombe msamaha mana ngoja tu ninyamanze
2026-09-19 15:08:36
7
raisiwataveta0
mrs rema🥰❤️ :
ILO KOFI NI UKWERI AU VP NAOMBAA JIBU ACHA KUONGEA KWANZA NIB
2026-09-19 13:52:21
13
user1275574815256
official g🦋🌹 :
Sijapenda alivyompiga 😞😞 anabaki kuwa n mzaz tu jaman mmmh Na sjui nguvu zakuwapiga wazaz mnazitolea wap atakama wanakosea
2026-09-19 14:19:40
7
To see more videos from user @chandolaptops, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About