lazima siku ya Ijumamosi au siku yoyote waeza Fanya?
2026-09-19 18:38:53
3
👑 :
asantee nikila jumamosi au siku yeyote
2026-09-19 17:36:50
3
rashmmy.peni :
Wa hii nitaifanya ila jumamosi imepita
2026-09-19 17:01:32
3
mom mina 💦💦 :
ngoja nifanye nashukuru kuona hii video siku ya jmos
2026-09-19 15:15:23
7
rukiarukia322 :
walkumsalam warhmatullah tahallah wabarakatu
2026-09-19 18:05:02
0
hidaya queen :
naweza hata kuyanywa hayo maji?
2026-09-19 15:41:14
1
M0lly. 026 :
Daah ni kwa jumamosi 2 au na Leo j2 unawez fanya
2026-09-19 23:30:31
1
Fatma Hassan :
kama huna hicho glass
2026-09-19 15:18:24
1
HalimaAckrey :
Dah sina udhu jmn
2026-09-19 20:15:42
1
nnaka._ :
assalam aleikum,mwanangu mara ya tatu saii ananyolewa nywele sehemu hiyo kwa hiyo kila nikimnyoa zikimea naamka nampata kafanyiwa tena🥺..naweza msomea nimpe anywe?
2026-09-19 19:54:38
2
Bimzee :
sawa kaka
2026-09-19 16:31:59
2
Asiye.Wake.Ana.mungu :
Asnte
2026-09-19 18:44:17
1
Khadija shaban :
Ma Sha Allah
2026-09-19 17:57:34
1
Mra M :
Shukran, mm naomba dawa ya macho kuona vizuri, wakati mwengine naona giza, namba ndogo sioni vizuri
2026-09-19 16:35:17
3
%Meera# :
kma up p unaruhusiwa kwsbb hushik mas haf ustadh
2026-09-19 15:26:31
2
Nayrnayfa :
mashaallah
2026-09-19 16:22:11
1
Nasra :
acha nifanye sai 2 [Pray][Pray][Pray] kwa iman
2026-09-19 17:49:36
1
Quraysh al Ghazzar :
ni siku gan na muda gan maalim ?
2026-09-19 23:07:56
0
To see more videos from user @abdulhamidnyota, please go to the Tikwm
homepage.