@realsabatopeter: Kila siku hua Namshukuru MUNGU kwa hii zawadi ya kunipa mama mcha MUNGU kwangu ni faraja na inanipa nguvu ya kupambana NAKUPENDA SANA MAMA SABATO 🥹❤️ Bila kusahau ni kila jumamos pale @Kisinia restaurant goba hua na treatment la kiVIP unaikosaje kwamfano 🙌#sabatopeter
SABATO PETER
Region: TZ
Saturday 19 September 2026 15:37:36 GMT
Music
Download
Comments
ANDASON :
nisaidien kumuombea mama yangu jamanj mm mama yangu anaumwa sana niwakuogeshwa kumbe kunawakati ukimpoteza ukiona post kama hii kumbe inauma🥺🥺🥺
2026-09-19 23:29:27
1639
Resp Laurencea. :
Nakusanya like za Kina Mama apa wakuuu
2026-09-19 15:57:08
358
KIM JOJO💦 :
Eeh mungu kwann ulimchukua mama yangu mapema jmn😭😭
2026-09-19 16:29:11
837
innocent Kessy :
fanya jambo home bwn
2026-09-19 17:39:51
74
jenny :
shikamoo mama sabato [Bow heart]
2026-09-21 08:43:52
5
𝆺𝅥⃝🥀⃪⃪꯭ᷟ⃜𖥫꯭꯭꯭𝆺꯭꯭𝅥𝐌꯭𝐏꯭𝆺꯭𝅥🎭 :
respect
2026-09-19 15:43:45
121
... :
ni nani kama mama ❤️❤️❤️Mungu nipe pesa nimu tunze mamangu🙌🙏
2026-09-19 15:45:14
355
black beauty :
𝓘𝓵𝓸𝓿𝓮 𝔂𝓸𝓾 𝓶𝔂 𝓶𝓾𝓶𝓶𝔂
2026-09-21 19:28:47
0
Kennedy Gérard vindu :
243 vous êtes où??
2026-09-19 19:02:44
98
Ann :
flowers to all mothers in the world ❤️❤️❤️❤️
2026-09-21 09:13:51
0
PHINY💜 :
mungu tulindie mama zetu wape maisha marefu yenye baraka🥰
2026-09-19 16:19:39
177
maria clara :
lots of love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
2026-09-21 11:45:03
0
Euster❤💍😘 :
Nimelia jamani, hakunaa kam mamaa🙏Mungu tulindie mama zetu🙏
2026-09-19 16:57:31
1521
princess vashit 💕💕 :
wakwangu aliniacha mapema sana angekuwepo ningetamba naye sana
2026-09-21 19:38:07
7
kiviti@mumo :
mwapanana
2026-09-21 19:41:03
0
Lon Bravine :
For those who have mother's please have respect 🙏🙏🙏 and always pray
2026-09-20 18:31:38
2
Destin Mulakirwa :
Hoo donc je suis seul qui parle français ici
2026-09-19 18:38:39
87
Ally the boy :
lestishulans[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Big LOL][Big LOL][Big LOL][Big LOL][Heartwarming][Tears of joy]
2026-09-21 04:49:42
1
pa((aa)) lanjo)😍 :
heshima sana wanao mpenda mama hakuna kama mama
2026-09-19 15:50:41
94
neemadavid170 :
Mnafanana Had Raha
Mwenyez Mung Akutunzie
2026-09-19 17:42:24
62
I'm_Sherzard :
Respect kwa mama
2026-09-19 15:45:46
79
HANS D 99 :
god bless all mothers in the world🥰🥰🥰
2026-09-19 17:55:46
52
Julie Mk :
Mungu Awa linde mama zetu jamani 🙏🙏🙏
2026-09-20 14:19:48
18
🌸🌸 Tanga girl 18 :
da ume fanya nime lia nika kumbuka et leo nikirudi kwetu napokelewa na makaburi daaa🥹🥹🥹
2026-09-19 17:16:29
128
Babe black🥰 :
Mama ako na mwenya kama mwanaye🥰🥰🥰🥰
2026-09-19 16:27:22
49
To see more videos from user @realsabatopeter, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.