@debby22705:

debby😜😜😜
debby😜😜😜
Open In TikTok:
Region: SA
Saturday 19 September 2026 15:44:52 GMT
23120
1368
143
18

Music

Download

Comments

user3305511699999
Maureen mk :
after wamekula 😂😂siwezi aki wanasema niko na madharau but siwezi kula huwa narudi nakula kubus ama mayai kwa nyumba
2026-09-19 17:57:58
15
jeffmoha85
Jeffmoh55 :
Hawa lazima ni wakisii
2026-09-20 02:01:59
3
aiden.684
SOFIRE♥️🔥📌 :
nikiwa kenya nilikuwa nasema sitakula but sai nasweep kwani😂😂
2026-09-19 21:19:04
16
abnormal.wa.gulf
abnormal wa gulf :
mimi wananijua wakibeba food lazima wanitolee yangu bure hio wamekula wakabakisha siwez kula kwa nyama hua wanadondoa vibaya
2026-10-18 11:57:04
0
sophie62643
@Sophie :
hello beautifuls🌹 are you okay
2026-10-03 13:07:21
0
daltovash
NON-C👩‍❤️‍👩💜✨ :
online wanakataa hawakuli bt kwa ground vitu ni different
2026-09-19 22:10:37
8
itsnyatichi4
it's Nyatichi ❤️🇰🇪 :
mabki sindio very nice 😂😂😂😂😂
2026-10-11 16:20:28
1
emmahkemuma59gmai
[email protected] Kemuma :
wah
2026-09-19 16:10:16
1
....f.m.4
Miss.E. :
what😳iyo nayo Siezi kula
2026-09-20 04:23:11
2
user1746131207403
💗Habibi💗🇰🇪🇸🇦 :
siwezi heri nikae njaa
2026-10-02 14:52:53
0
tinah04258
TINAH :
yani nilikuja nikiwa 48 kgs ata sija maliza 2 months niko 58😁😁 kweli shida ni mbaya
2026-09-20 07:55:47
0
diana_stacy5
Diana_Stacy♥️ :
mimi naye navyeka Kila kitu kwani ni kesho
2026-09-20 11:31:22
1
lyricz.wav1
❤️ASHLEY❤️ :
Huku watu ni wazungu hawakulangi lakini kwa ground mambo ni tofauti
2026-09-20 07:24:18
0
hellenk79
hellenk79 :
Mimi nitakulia kitchen wakiniuliza nasema ni Mila yetu Iko hivo😂😂😂
2026-09-20 07:03:43
0
jacklinemusau84
wanza🌷 :
najua apa online hamezi kula😂😂,kwa ground vitu hukua different sana
2026-09-20 03:46:39
1
faith.kerubo93
Mamake Ramsey :
Mimi nayo siwezi kaa bila kushiba na kuna chakula imebaki nafyeka yote kwani nitakufa
2026-09-20 13:50:23
0
mwangondi
filo kamburi :
enjoy 😍😍😍
2026-09-23 18:35:40
0
jeffmoha85
Jeffmoh55 :
mimba ndio imebaki
2026-09-20 02:01:59
0
paulae95
Luo bae🔥 :
Mimi roho inakataa weeh😅😅hapo ni Pepsi tu niksonga
2026-10-22 22:07:08
0
maqziner5
£@vihiga icon 🐆 :
but ata ivo naona plates hapo kando wamekua wakitumia and moresore hua wakuli kila place the food is always clean and consumable🥰
2026-09-20 04:43:22
0
maria.nekesa8
🍂Maria 🍂 :
ebu mpin location nikuje niwasaidie😂😂
2026-10-23 20:07:27
0
judithongachi6
God siku zote :
heri nikula mchele tupu nichemshea bila mafuta but hii siezi wacha nikae
2026-10-18 03:51:48
2
joyzdewinner900
joyz de winner 🏆 :
nmemiss laban 😋
2026-10-22 07:27:34
0
jeddv01
Gege🇰🇪 :
watu wanapretend comment section na huwa wanakula😁
2026-10-17 00:24:09
0
breilah12
🦋Miss B💦🦋💕 :
Kwani inauua kuleni wapenzi🥰🥰
2026-10-17 15:12:56
0
To see more videos from user @debby22705, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About