@mrhjuma1: "Kijana anaitwa Anold Tarimo, najua tayari mshajua ni kabila Gani. Sijajua huyu ana umri gani ila kwakweli siyo Kwa ubaya ila Jana nimeshangaa sana. Kama unavyo Muona hapo pichani, ilikuwa ni Jana akiwa amesimamia vijana wakipakua mzigo wa simu kwenye Kontena Mbili, Imagine! Hapo ni simu za Kila aina, Kuna iPhone hapo, Tecno, Infinix, vivo n,k Hiyo picha amevaa t shirt nyeupe hapo Yuko Dubai (falme za kiarabu). Hawa Wenzetu pesa Wana toa wapi aisee mbona wengine tuna Ishia pesa ya kula tu? #FikrazawakaliUPDATES

mrhjuma1
mrhjuma1
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 19 September 2026 15:49:38 GMT
147349
3492
206
205

Music

Download

Comments

ditto_lord
ditto de reggae :
Utayaweza masharti[Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-19 21:56:49
0
bahat.deniss
bahat deniss :
hongera zake
2026-09-19 17:35:40
0
mwaj398
MRS NKINGA OG🇹🇿 :
Sio vzuri kumpost mtu hvyo ni hatari kwakwe
2026-09-19 18:20:54
131
aisherfaraj
Aisherfaraj :
mnaweza mkamshangaa mtu kaibuka na utajil ghafla kumbe alikuwa anajiwekeza ila ulipofika muda sahihi wa kifanyia lengo lake watu ndo mnaanza kumshangaa
2026-09-19 17:43:57
160
mzeemudrik
mzee mudrik :
one day
2026-09-19 21:50:22
0
omariari8
Omar🇹🇿🇷🇼🇲🇼 :
focus kwenye on your work bro
2026-09-19 21:09:16
0
jr.angelo25
Genge empire🥾🥾🇰🇪 :
atajua mwenyewe bhna
2026-09-19 17:30:37
35
victor.gadgetshub
Victor Gadgets Hub :
ni assecories sio simu
2026-09-19 18:34:08
26
monarisa264
Monalisa❤️🫶 :
Mkaka handsome atare 🥰
2026-09-19 23:51:30
0
sherly.sherly6891
sherly sherly :
Wenzetu mnapata wapi pesaaa jaman kuna ss wengine tukiamka salama asante mungu
2026-09-19 17:31:21
38
.cope_1
𝖄𝖔_𝕮𝖔𝖕𝖊 :
Money is money as long as it solves problems.
2026-09-19 20:19:10
0
lucystoretz
lucystoretz :
Maisha ya kwel Mungu si mjomba ako juhudi haziongop 🙌
2026-09-19 18:34:52
9
marieluxestore
Marry mushy :
anaitwa anostore anapatikan karikoo kanisa la kkkt na sinza mugabe mkamsaport kaka angu jmn🥰
2026-09-19 18:42:48
9
farooq.kalimu
farooq kalimu❤️💦 :
vijana tuna pambana sana muache mungu kamuona 🙏🙏🤍
2026-09-19 18:31:56
4
reneeeeeeeee8
reneeeeeeeee🥰 :
haya maisha hayataki u serious 😂😂💔🤚
2026-09-19 20:55:49
5
david_sospeter
Call me dev :
Tafuteni hela mpunguze kujudge mafanikio ya wenzenu
2026-09-19 17:52:17
8
notstory32
or not story :
kwaiyoo sasa unatuambia ss ili iwe nn
2026-09-19 21:25:09
0
tatu.said52
Tatu Said :
atajuwa mwenyewe
2026-09-19 20:44:39
1
bintikigoma1
stellah ❤️🇹🇿 :
ipo.siku na mimi mungu atatenda kwangu ipo.siku
2026-09-19 21:50:00
6
amynaar06
Ammy girl :
ntapataje namb zake jmn
2026-09-19 20:42:45
1
cute64831
💗PINK WITE💞💞 :
wenye D 2 tushaelewa
2026-09-19 19:34:09
4
cattie2266
🍒cathy :
aya sas wachaga wote wakwa tarimo twenden tukamsapport kak
2026-09-19 21:14:37
1
lightnesslema
lightnesslema :
Na ni mdogo jamani huyu namjua vizur aiseeee nitafute ela mie nimtafute japo mimi ni dada yake anifundishe na mimi aiseeee mtoto mdogo pesa nyingi kizazi cha Arobiamu Tarimo
2026-09-19 18:13:30
0
user7086756076501
Grayson :
ningependa Kuona mkipost Kwa namna ya kusaport biashara na sio kuoji amewezaje nafikiri iyo inaweza kua poa zaidi 🫡
2026-09-19 20:43:01
2
ros09091
Bint kimaro🩵 :
Ano from Machame 👌🙌
2026-09-19 17:56:04
1
To see more videos from user @mrhjuma1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About