@drchinja: MFAHAMU KWA UCHACHE JINI MAIMUNA Bismillah rahmanil rahiym Katika darsa hili utajifunza yafuatayo 1. Tofauti ya jini maimuna na maymun 2. Maelezo ya kina juu ya kila mmoja 3. Mwisho ni waqf wa kumfungua na kumuita jini maimuna aje kwa wakati na kutekeleza jukumu la kuitwa kwake JINI MAIMUNA Buraq anamtaja maimuna kama mmoja wa majini wenye kasi ya ajabu(Al-tayyara) tofauti na maymun(mfalme) maimuna anaelezwa kuwa na sifa hizi zifuatazo >Asili ya hewa(Ruh al-tayyar) maimuna si jini wa ardhini tu yeye ni jini wa angani/hewa hii ina maanisha majibu yake ni ya haraka pale anapo agizwa katika utendaji kazi wa jambo fulani (sar'at al-ijaba) >Mvuto wa mapenzi (Al-mahabba) katika ilmu asrar na ruhaniyat maimuna ni mwenye kazi zinazo husu "Jalb na taskhir" yaani kuvuta na kuchukua hapa inaweza kuwa kuvuta utajiri na kuchukua hazina na pia anatajwa kama kiongozi (malkia) mwenye uwezo wa kuathiri mioyo na fikra za binaadamu na kujenga mahaba na mapenzi kwa wengine KHATAM NA RARASIMU niwaweke wazi maimuna ana khatim (muhuri) wake maalum ambao haufanani na maymun wa jumamosi muhuri wake mala nyingi huhusisha herufi za "Nur" na miondoko ya mwezi yaani Qamar 👇 Lakini hata hivyo wanatajwa miongoni mwa majini walio apa mbele ya nabii suleyman kusaidia katika mambo ya kheri na uadilifu anajulikana kwakua na kauli moja "akiahidi jambo halirudi nyuma hivyo ukienda nae kinyume ni mwenye sifa ya ukali sana" TUTAENDELEA 📌 #kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniantiktok🇹🇿 #ugandatiktok🇺🇬 #oman🇴🇲muscat🥀🌹 #msumbiji🇲🇿