yaani analia mtoto machungu naskia mimi pole mtoto mzuri mungu atakuponya
2026-09-22 18:39:27
28
🦋Aiem~@ Aysha🌺🇹🇿❤️🇴🇲 :
pole mwanangu jamn maumivu nayahisi mimi 😥 MUNGU akuponye kwa haraka
2026-09-20 03:32:21
11
Suleiman Abdulmalik :
sogezaa, kwa ukali DADA NAONAAA
2026-09-23 22:30:49
3
nadanho*💫 :
pole kijana unaumia sana mungu atakuponya amiin
2026-09-23 03:08:42
9
rehema ahmad :
pole sana mtoto japo swezi kuangalia mp@aka mwisho pole pole mungu atakuaajali utapona🥰🥰
2026-09-24 02:28:05
3
Mrs mreh :
doctor hongera sana
2026-09-21 12:28:41
0
Farhati ali Mohamed :
zanzibar sehem gani
2026-09-20 18:26:49
3
Aniya 🦋 :
Ulitumwa uparamie mimti lakini pole🥰
2026-09-20 18:11:05
1
sofi❤️ :
he jmn naumia mm pole mdogo wangu
2026-09-23 14:12:53
0
Doctor Tangi 🏥🩺💉 :
ganzi ninayo
2026-09-24 05:56:38
0
anastazia sayi17 :
tupo na wewe[Pray]
2026-09-20 01:49:32
0
blue girl💙💙💙 :
pole mdg Ang watoto wa kiume nao watundu sana
2026-09-22 01:35:29
0
safatu :
Jmny namuurumia sana uyu mtoto maumivu anayoyapata hapo anayajuaa yy pole mwanangu utapona ishallah
2026-09-21 05:26:32
7
Daubah hennah&makeup fashion :
jmn maumivu hyo
2026-09-22 11:37:14
1
zizah baby :
mtoto ana umia bwana acha ma neno meng
2026-09-22 07:28:36
2
satina 🧕 :
pole sana mtoto jamani
2026-09-20 08:07:19
1
Farhati ali Mohamed :
upo zakiem sehem gani
2026-09-20 18:26:37
1
JUMA TALL :
pole mtoto
2026-09-20 04:53:57
1
Yahya Aly :
Samahani mtaalam mm wakwangu ulivunjika ila haukukaa saw na nimepata miaka mitatu haushiki chochote na unamaumiv piya umevimba vipi naweza kupata Tiba nakurud kama mwanzo
2026-09-25 01:37:28
1
chocolate 🍫 shaa Zanzibar ❤💯 :
Muweke sw BAs kwanza mengn baadae
2026-09-19 21:11:27
3
jumahemed546@gmailcom :
pole sana dogo utapona tu🥰🥰🥰
2026-09-20 16:38:19
1
momo Francis :
jamani anaumia mtoto pole
2026-09-19 21:00:37
2
Abdulhamid Mohame495 :
Mungu akuweke doctor uzidi kutufaa
2026-09-19 19:41:38
3
Rukia Fahim :
kweli hata mimi yalinikuta kwa mtt wangu pale Mara hospital kijichi sina hamu nao mm waongo
2026-09-23 19:56:55
0
To see more videos from user @doctor_tangi, please go to the Tikwm
homepage.