@girlsresling0:

aliyajee
aliyajee
Open In TikTok:
Region: US
Saturday 19 September 2026 23:00:27 GMT
57
2
1
0

Music

Download

Comments

ali.hamza77794
Ali hamza :
❤️❤️❤️
2026-09-19 23:12:28
0
To see more videos from user @girlsresling0, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Katika paa la Mlima Kilimanjaro, mahali panapotanda upepo wa matumaini na harufu ya ndoto zilizobebwa na mizigo ya wageni, kinachoanza ni simulizi mujarabu ya namna Kampuni ya utalii ya Altezza Travel, ambayo si tu inafanya shughuli za kupanda mlima au kuona wanyamapori hifadhini na kwenye vivutio vingine vya utalii. Jina Altezza, hutawala vinywani mwa watalii kama daraja linalounganisha malengo ya kitalii na maisha ya watu wa kawaida, wapagazi, waongoza watalii na wana jamii wanaoitumikia ardhi yao kwa bidii isiyoelezeka. Makala hii inasimulia kwa undani, jinsi kampuni ya utalii ya Altezza Travel, ilivyogeuka mwangaza wa matumaini kwa maelfu ya wapagazi na waongoza utalii; na jinsi inavyotumia mapato yake, si tu kwa faida, bali kwa maendeleo ya jamii nzima ya Watanzania. Dickson Muganda, ambaye ni Mkurugenzi wa Utalii wa Kampuni ya Altezza Travel, anasema wamekuwa katika biashara hiyo kwa miaka 12, na wanaona maendeleo, kwamba kuna mabadiliko makubwa katika sekta ya utalii yakishabihi malengo yao ya kutoa huduma bora za utalii. Muganda katika makala haya, anasema wanayo miradi ya kijamii, ambayo inajielekeza katika uhifadhi wa mazingira, kama kuotesha miti kwenye mashamba makubwa na kuzunguka Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro. Kana kwamba haitoshi, anaeleza wazi wazi kuwa, wanafanya hayo kwa ushahidi usiomithilika katika eneo la Chemichemi ya Maji Moto ya Chemka na upande wa Kaskazini mwa Mlima Kilimanjaro, ili kulinda maeneo oevu, ikolojia,utajiri na rasilimali za asili za Tanzania. Muganda anasema, “Lakini pia tumeanza utafiti kwa ajili ya kutunza Flora & Fauna (yaani wanyamapori na mimea iliyo hatarini kutoweka) zinakuwa zinatunzwa.  Kwa hiyo tuna MoU (hati ya makubaliano) na taasisi ambayo inasimamiwa na serikali kwa maana ya TAWIRI (Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania). …Tunafanya nao miradi ya utafiti, ambayo ni juu ya viumbe waliopo katika hifadhi na baadhi ya mimea. Lengo letu ni kuendelea kutunza vyanzo vya asili; na tunaweza kuvitunza kwa kupitia tafiti.  Kupitia utafiti tunajua tunaweza kutunza vyanzo vyetu vya rasilimali za asili za flora & fauna.” Muganda anaenda mbali zaidi akieleza,kwamba kwa upande wa wanyamapori wanaosimamiwa na Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), wanaangalia wanyama wanaokuwa wamepata ajali kwa kuchomwa mkuki na jamii ya wafugaji wa Kimasai. “Sisi ndio ambao tunaitunza Tabora Zoo, na wale wanyama wote wanaopelekwa pale, tunahudumia kwa asilimia 100. Wako Simba, wako Chui, tunawapelekea chakula.  Tunahakikisha waangalizi wote wanalipwa,dawa, kutibiwa na kila kitu.” Lakini je, vipi kuhusu huduma za jamii na kurejesha kile kidogo wanachokipata kwa jamii inayowazunguka? Hapa! Muganda, anadokeza katika Makala haya, Altezza Travel ilivyoingia makubaliano (MoU) na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, kupitia Taasisi ya Elimu Tanzania (TEA), kufadhili elimu, kwa maana kwamba kukiwa kuna shule wanahitaji darasa, wanaleta proposal (andiko la mradi) na Altezza Travel wanatoa fedha. “Tunayo list (orodha) ya watoto yatima tunawasomesha kuanzia chekechea mpaka chuo kikuu.  Tunahakikisha tunawalipia ada kila mwaka na wazazi wao tunawaingizia kiasi cha fedha kwenye akaunti zao kwa ajili ya kufanya manunuzi ya wanafunzi kwa mana ya madaftari na vitu vingine. …Kwa hiyo Altezza, ni kampuni ya kijamii sana, tumewekeza katika jamii na wako watu wengi, ambao tunawasaidia katika elimu; kwamba, si lazima usome tu shule za serikali, hapana! wako watu wanasoma mpaka nje ya nchi na wanasomeshwa yatima.” Kwa upande wa porters (wapagazi), kuhusu maslahi ya mishashara, Muganda anaeleza kwamba, Kampuni ya Altezza Travel, inawalipa moja kwa moja benki kutokana na tangazo la serikali, yaani GN.  Serikali ilielekeza, porters walipwe kupitia Benki ya NMB. Anasema kampuni hiyo ya utalii inafuata viwango vya malipo vya serikali.  Chukulia mfano, kama mtu anatakiwa kupanda mlima mara 20, mara dola 10, ni pesa nzuri ambayo anaweza ikamkimu.

About