@gideon_kulawa: ALIFUFULIWA NA ASKOFU GWAJIMA MPAKA LEO YUPO AMEOLEWA ANA WATOTO

Gideon Kulawa
Gideon Kulawa
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 19 September 2026 16:08:26 GMT
14483
788
50
63

Music

Download

Comments

vangliste.sverin44
Évangéliste Séverin M🇿🇲🇿🇲 :
Your Grace daddy overwhelmed 🥰🥰
2026-09-19 17:53:44
0
user3215043066812
bibiche :
mina kipata je iicho kitabu muchungaji , mimi miko APA congo , lakini wakati nyingine na kuja cariako Ku nunuwa vyashara zangu ndogo pale
2026-09-19 17:29:23
1
perisbigo
peri bog :
ila baba mungu akubaliki sana,mchungaji anae weza kukaa namtu Alie kataliwa niwachache sana,
2026-09-19 16:49:32
3
user3619491455926
Godfrey masumbuko :
Mimi nimemfufuwa!!!!!! mbona kama kunamganganyiko kidogo!!! kwan anae fufua ni gwajima au ni YESU??? mnisaidie jaman labda mm sielewi
2026-09-19 18:24:00
1
winnie.john37
Winnie John :
Nakipataje hicho kitabu jaman
2026-09-19 18:55:30
0
reymondylucas
Reymondy Lucas :
MUNGU mzidishie JASUS
2026-09-19 16:18:00
2
masharubumajaliwa
Masharubu majaliwa :
Mungu endelea kunipa uhai nione mengi
2026-09-19 16:24:49
2
agatha.mbwilo2
Agatha mbwilo :
Yesu ni Bwana.
2026-09-19 17:24:50
2
benfavor2
Benito@G :
Namkumbuka vizuri huyu dada. Nilimuona akiwa hana watoto
2026-09-19 17:48:35
1
nabiidericdady12
H.E Amb Dr alpha One dericdady :
Ebenezer woow mwalimu wangu nimekuona Leo aisee mwaka 2006 na 2007 alinitengeneza kwenye maombi pale pugu Kisumu daah nimemuona Leo
2026-09-19 18:23:22
1
yvonnehakizimana
Yvonne Hakizimana :
ubarikiwe
2026-09-19 20:09:21
0
user6746242887349
Angel :
pasta Ebenezer Mungu akutunze mtu wa Mungu
2026-09-19 19:07:50
0
user4606883715470
user4606883715470 :
YESU nibwana
2026-09-19 19:11:03
0
gracesinach
[email protected] :
sifa kwa Mungu
2026-09-19 16:17:46
0
mborakimaro
kidotty :
hakuna mtu ana fufua mtu
2026-09-19 19:36:11
0
japha.ishh
Japha Ishh :
amen
2026-09-19 19:03:51
0
langei
L :
Ndo maana ccm wamekubalikia!
2026-09-19 19:54:04
0
mborakimaro
kidotty :
na kwanini umfufue,?
2026-09-19 19:36:39
0
mimo3517tiktok.compy
mami :
Ameen
2026-09-19 17:37:41
0
catherine.kilatu7
Catherine Kilatu :
amen
2026-09-19 17:29:49
0
moshimary0
Marymyname@@@ :
Gwajima hapo umetupiga
2026-09-19 19:33:09
0
goodhope185
Gh :
Amen
2026-09-19 18:34:25
0
user3619491455926
Godfrey masumbuko :
nisawa lakin tulejee katika maandiko tuache biblia iseme yenyewe, katika 1:korintho 3:6 Paul anasema Mimi nilipanda mbegu apolo akamwagilia lakin mwenye kuikuza mbegu ni MUNGU, na sehem Fran YESU alisema, wengi siku za mwisho watakuja wakisema BWANA tulifanya miujiza kwa jina lako.. hiyo inatosha tu kujua kwamba miujiza yote inayofanyika kwa watumishi wote wa Mungu chanzo chake ni kristo na siyo mwingine, kinyume na hapo hakuna mwanadamu awae yote anae weza kuongeza hata kimo Cha ulefu wake au siku za kuishi wake, Kila jambo njema linalo tokea ni BWANA MKUBWA YESU KRISTO ndiyo anayoyafanya yote hayo, utukufu na nguvu unayeye peke yake, kwahiyo hapo baba askofu jasus la mbinguni aliteleza kidogo.
2026-09-19 21:08:24
0
samson19989
Samson lugongo :
Kabuli lake lilikuwa wap
2026-09-19 19:00:00
0
pierrot.rugambwa
Pierrot Rugambwa :
la suite
2026-09-19 19:53:51
0
To see more videos from user @gideon_kulawa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About