@dhakii.online.tv: MashaAllah

๐ƒ๐‡๐€๐Š๐ˆ๐ˆ ๐Ž๐๐‹๐ˆ๐๐„ ๐“๐•
๐ƒ๐‡๐€๐Š๐ˆ๐ˆ ๐Ž๐๐‹๐ˆ๐๐„ ๐“๐•
Open In TikTok:
Region: KE
Saturday 19 September 2026 16:45:27 GMT
59349
2014
104
206

Music

Download

Comments

yuss_heenah
yusriyah shatry :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] swallu Alaa muhammad
2026-09-20 05:38:30
1
iphonestar_tz
iphonestar_tz :
Bachu Simba
2026-09-21 07:36:37
0
sewando4
sewando :
tutabaki nabachu vyovyote itkavyokua
2026-09-19 23:34:22
12
user5069506185713
user5069506185713 :
bachu ni simba
2026-09-19 20:46:52
8
fatmah75750
Fatmah7575 :
imefik hatua hatuelewan wenyew kwa wenyew dini yetu itafik kweli??
2026-09-19 21:05:52
5
mwarongo
user9637102915881 :
Kwa hiyo maulid yetu bado ni mazuri na sio bidaa na tunatamba nayoo. Masheikh tunao na wamesoma
2026-09-19 19:49:26
12
mohaa7202
Mohaa :
Kitabu hiko cha barzanji je ni sunnah ama ni Quran, kwann tusifuate Quran na Sunnah, na katika sunnah mtume kaenga ndevu, na Quran yasema kama mwataka Allah awapende basi fuateni matendo ya Mtume, tuanzeni na ndevu, twapotea ummah na zama zetu bidaa kubwa ni kupiga dufu na zumari na ala zozote za mziki
2026-09-20 03:45:52
2
amroz269
Amro :
Siku hizi mashekhe wanatumia mda mwingi kuitetea maulidi kushinda mengine. Allah atujalie mwisho mwema.
2026-09-20 12:10:05
0
ah_abuswar6
ah_abuswar :
Sheikh hili swala la maulid mbona musitumie busara? Ni sawa au si sawa isiwe mjadala. Kama kulifanya lazua mtafaruku baina ya waislamu basi kwanini musiliwache? Mukiliwacha hamupati dhambi. Kama wataka kumswalia mtume na kusoma mashairi ya kumsifu tafuta mahali pa faragha ufanye peke yako mpaka utosheke. Si lazima kufanya waislamu wote walikubali. Sio lazima Sheikh. Mwaleta mtafaruku na huu unafanya umma kuwa dhaifu.
2026-09-19 22:45:25
1
abdallanadhar443
Abdalla_nadhar443 :
bachu ni kwamba anamhukumu mtu acemjua na ambae hajui moyoni mwake alikusudia Nini kweny alichokiandika,haya bachu una ushahidi Gani wakutupa tuthibitishe kua unachotwambia ndio alichokikusudia muandishi wakitabu.
2026-09-20 09:39:57
3
abdallamssoud
Yarmuk :
tafsiri zako zote zimerudi hapo hapo mja waAllah nimtumwa wa Allah
2026-09-19 18:10:25
4
khalf049
Khalfan A Runde :
bachu yupo sahihi hauwezi mwambia mwanadamu mwezio Mimi mtumwa wako yule ni mjumbe wetu sio sisi tuwe watumwa wake buchu wape ao
2026-09-20 10:55:46
0
mrs.hillow
mrs Hillow :
Ibada nyingine ziii maulid tuuuu
2026-09-20 03:03:30
1
mohamudmohamed085
Mohamud mohamed 12431405h @gma :
kweli sana sheikh waelimishe Hawa...
2026-09-20 05:48:37
1
user67430480
@Akash Molu :
hapo Bachu anaukweli,
2026-09-20 00:17:12
1
muhammadmsami462
MSAMI :
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ hatari sanaaa
2026-09-19 18:12:56
1
alnuhu.com
znzbr first :
nyote ni waislam,muhimu kuitana na kuelimishana na sio kuonekana nani mjuzi ktk elimu kwa kibri,bali kwa Faida ya umma wa kiislam,junior kuna watu wapo mbali sana,maeneo ya ndani ukoo vijijini wanahitaji elimu wa uislam wafikishiwe japo kidogo ili iwaongoze elmu ya dini,lakn nyinyi mnaishia kutaka sifa na majivuno na nani zaidi ya nani!!tafakari chukuwa hatua,waislam wanawahitaji nyinyi muwape elimu na sio malumbano ya kila siku
2026-09-20 06:50:02
2
abuu.rahaf28
BAHERO-28 :
Shaikh Bahero Ana nn Abawa
2026-09-19 18:17:43
0
user796169345
Salim Ally salim :
msamehe bure kijana anajazba
2026-09-19 19:23:12
7
user822133990
omy :
Bachu kakosey alicho kisem sio tafris sahh
2026-09-20 14:45:02
0
aishaaidarus2009
hijab_girl๐ŸŽ€ :
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
2026-09-19 17:28:50
1
user6733618149136
othumani masudi :
ukwel ndio huo ata mim najua Kam maulidi ni bida'a
2026-09-20 19:47:38
1
khamsoyussuf
khamso Yussuf :
bachu yupo sahihi xaaaana tena xaana
2026-09-21 06:35:11
0
wajaleotv
Ibn Abdallah :
siku zote katika utunzi anayejua zaidi ni yule mwandishi na Mungu wake, kuchukua tafsiri moja kwamba ndio sahihi kwa neno ambalo lina tafsiri tofauti na muhusika hajalitolea ufafanuzi ni makosa
2026-09-21 05:15:11
0
ummulkher9
Ummulkher001 :
swadakta skekhe
2026-09-21 05:35:32
0
To see more videos from user @dhakii.online.tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About