@kivurandejunior2: Kumesha amka Kigamboni mambo buli buli Na wanawake wa kisasa #kivurandekibaokataswahiliband #sauthafricantiktoker🇿🇦🇿🇦 #tanzaniantiktok🇹🇿 #nigeriantiktok🇳🇬 #kenyantiktok🇰🇪

kivurande junior
kivurande junior
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 19 September 2026 17:07:48 GMT
32832
1616
25
59

Music

Download

Comments

nimky255.g.mail
[email protected] :
wakati kati nampenda sana huwa anacheza kama hataki
2026-09-19 22:29:30
12
qalb611
Ummuh nasri🌹 :
najua masomo huwa wanakuwa watatu tu sijui wale wenye timu ya mpira huwa wanatoka wapi 🤔
2026-09-20 10:54:27
5
fahmatbofu
fahmatbofu :
dada anajua bana yani hapo ancheza km hataki hao ss ndo wanajua ban
2026-09-19 17:48:43
8
user6112166941313
user6112166941313 :
Ma sha alla wanacheza kwa hishima
2026-09-22 05:20:29
0
user5255815963539
zuumimi :
pambe 👌👌
2026-09-19 17:29:54
1
leequeen878
Isha.Beauty.Point :
somo msomi huyo🥰😁
2026-09-20 07:37:53
2
sifate28
Alima2009 :
Nimekupenda bore
2026-09-20 03:22:11
1
dijahh.1
Dijah_😚! :
Naima weee🥰
2026-09-20 21:10:44
0
user5819981820823
Nunu isma :
Naima kama mzungu vile anapendezey kucheza kizomba
2026-09-21 17:06:26
0
mother.of.487
mother of 4🙈💋🌹💯 :
nawapenda sana tz
2026-09-20 19:53:52
0
aminamt94
aminamtoromtoro :
somo nakujitaji
2026-09-20 14:22:17
0
shaniehabibty
Habibty🥰 :
Nimeskia Wee Shanila 😍😍😍 Aaaaah wajina weeeeee
2026-09-21 13:50:23
0
user1422233618529
user1422233618529 :
mm naima tu jmn 🤣🤣
2026-09-21 21:00:43
0
swabirna
swabra 47 :
naima mwanangu utampata nipe maelekezo hakiii
2026-09-20 14:02:15
1
tau51980
Tau :
Yaani kweli huyu somo maashallah hataki mambo ya kukata mauno mbele ya camera kabisaaa🙌😍
2026-09-22 09:06:52
2
icon_car_rental
icon_car_rental :
TUNAKODISHA MAGARI YOTE 👉self drive zipo pia 👉Magari ya harusi,event tours. 👉Tembelea page yetu
2026-09-21 15:54:27
0
lovenessteve995
Lovenes Steve :
nimempenda huyu dada wa katikati mzuri.mwenyewe anacheza vizuri
2026-09-22 19:33:31
0
seddie248
seddie248 :
huyu wa katikati jamani mtoto wanani
2026-09-21 18:38:53
0
maktabaoftimbuktu
maktabaoftimbuktu :
kigamboni hakuna miss bantu jamani,naona wote hawana nyama nyingi,kwa nini lakini kigamboni mnatufanyia hivi
2026-09-20 20:01:55
0
user09667794
Binti Shaban :
huyu mdada @Naima nampendaga bc tu[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-09-19 17:23:51
3
mid.tash
Mid Tash :
🥰🥰🥰
2026-09-19 21:32:50
1
yaumu.juma
Yaumu Juma :
🥰🥰🥰
2026-09-20 02:17:47
0
chinese.japhet
Chinese Japhet :
🥰🥰🥰🥰
2026-09-20 07:39:23
0
To see more videos from user @kivurandejunior2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About