@sbh_tafsiri: 😘…#dilkokaraaraaya #sbhtafsiri

꧁•٭S B H٭•꧂
꧁•٭S B H٭•꧂
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 19 September 2026 17:08:52 GMT
678793
55110
370
4001

Music

Download

Comments

salma85133
salma :
natamani nipate penzi jipya halafu nimtumie hii video
2026-09-20 06:08:22
86
muhangary3
MUHANGARY :
au sisi wengine dunian tumekuja kujaza dunia kwa kunya maaan nachoka na aya mambo uuhu usingle 😬
2026-09-21 07:31:00
20
mpepeto.sili
Mpepeto Sili :
Yesu hakuita dini yake "Ukiristo": Wakati wa maisha yake duniani, Yesu hakuwa na mpango wa kuanzisha mfumo wa kidini unaoitwa Ukristo kwa maana ya taasisi au dini tofauti yenye jina hilo. Yeye alikuwa Myahudi, alifuata sheria za Kiyahudi, alifundisha ndani ya masinagogi, na ujumbe wake mkuu ulikuwa ni kuhusu Ufalme wa Mungu na kutubu dhambi, akiwaalika watu kumfuata yeye na mafundisho yake. Asili ya neno na jina "Mkristo": Neno "Mkristo" halikutumiwa na Yesu wala na wanafunzi wake wa kwanza mwanzoni. Kitabu cha Matendo ya Mitume (11:26) kinasema wazi kuwa ilikuwa ni katika mji wa Antokia ndipo wanafunzi wa Yesu walipoanza kuitwa "Wakristo" kwa mara ya kwanza, jina ambalo lilitolewa na watu wa nje au jamii ya huko kuwataja wale waliomwamini na kumfuata Yesu Kristo. Baada ya kuondoka kwake duniani, wafuasi wake walianza kuunda jumuiya zilizojitenga polepole na Uyahudi wa jadi, na ndipo mfumo na dini inayojulikana leo kama Ukristo ilipojipambanua rasmi. Kwa kifupi, Yesu alileta ujumbe wa wokovu na mfumo wa maisha unaomtegemea yeye, lakini jina na mfumo wa kidini wa "Ukristo" uliibuka baadaye kupitia wafuasi wake.
2026-09-20 17:40:21
21
akidaboy2
Dalle boy :
lidada linajua alafuzuri vp jmn kwakweli usingizi sipati 🎣
2026-09-21 14:25:55
8
pretty.mina097
pretty🌸🤍mina🦋 :
anae jina la uyu dada anambie jaman
2026-09-29 17:53:26
8
balozi531
Balozi😎 :
Mapesi ni Sanaa ya kihisia Hasa ukikutana na mtu munaependana kweli aiseee 😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-09-21 08:53:52
4
dr.sajuu
kidima :
fanya na ile ya jadu ya krishina
2026-09-19 17:14:11
20
nikoh563
_-nikoh-_😎🔥😜 :
iyo ilikuwa zamani sio xax😂😁😫
2026-09-20 05:39:05
13
nourdy88
Ahmed Salim🦁 :
Ntaenda kuoa india kwakwel😂😂
2026-09-23 11:50:17
1
amina.kondo3
Amina Kondo :
huyu dada sindo aloimba MERA N,GATA
2026-10-02 12:41:53
5
sarahkelvin0384
sarahkelvin0384 :
Me mpaka mwili umesisimka
2026-10-01 13:23:30
5
user2815862210402
user2815862210402 :
unakosha sanaa aaah weeee🥰🥰🥰🥰🥰
2026-09-21 13:38:52
3
user710224407982
❤Missy❤ :
Dil ko karaar aaya
2026-09-25 16:53:29
7
jamaaaaaal12
Tanarian_kid🔥 :
My 😍fav 😍
2026-09-21 12:51:11
3
mussahvedast
𝑴𝒊𝒗𝒆𝒙 ⚜️ :
fanya ni nyimbo ya kahani hamari
2026-09-20 07:47:09
1
user14413435595
بت باريس❤😍 :
احلي اغنية بحب وانتي احلي من اغنيه ♥🥰🥰🥰🥰
2026-10-10 22:28:44
1
akenna__
Akenna :
2026-09-22 16:42:17
1
fettykidonty
Fetty Kidoty :
2026-09-20 05:07:31
1
devokimbe
Devo27 :
ya mwanaum je
2026-09-19 23:19:52
1
richardplatnumz76
Richard Platnumz :
Nimependa🫡!
2026-09-22 07:23:47
1
officialrahma410
officialrahma🥰 :
jamn nakupend ww
2026-10-02 19:26:03
1
ford57276
ford :
Nan aniimbie jmn upwek utaniua
2026-09-19 20:42:07
3
rehema_chavan
Rehema Juma :
natamani nimtumie mpenz wangu..ila shid ni msudani duuuh..kwisha mim.. atahis simpend kumbe mwenzie English haipand😢😢
2026-09-21 17:59:47
3
shaima.swaimu
Shaima Swaimu :
nimekuwa wakwanza leo😅😅😅
2026-09-19 17:30:28
3
gotta.lovemaryam
Maryam's kitchen ❤️ :
Hey guys natafuta jina la hini nyimbo
2026-09-19 19:50:17
2
To see more videos from user @sbh_tafsiri, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About