lakini sometimes being a farmer's wife inakuanga tu pure majaribu.
2026-09-20 06:39:46
4704
Evans Ndara :
The kind of trauma that made some of us hate home during the holidays..
2026-09-20 08:57:43
1632
damarisogola :
ujenge nyumba smart store ikushinde? or mavuno ni mengi?
2026-09-20 07:01:26
2128
julie kisaka :
this is how we gre up. our sitting room was also the store.
2026-10-25 16:06:40
0
Nyanya Foti :
hata nivune gunia hamsini i better rent a room
2026-10-26 18:32:21
0
Hannael :
this is my dad, he praises maize a lot than his family 😂😂 he can evacuate us any time to fill the house with maize
2026-09-20 13:07:35
420
kamauhenry27 :
mambo ya kitale haya... afadhali mlale watu 7 room moja lakini mahindi ipewe yake special
2026-09-20 06:40:40
650
Kare gal totz🇰🇪🇸🇯 :
Sasa nani ataosha hio vumbi yote mpaka kwa viti aki
2026-09-20 11:35:17
261
Mama shanty :
I will no allow this to happen in my house 😂😂
2026-09-20 03:02:01
156
Pilgrim. :
God did it
2026-10-25 18:11:04
1
💗Awuor💗 :
Sasa nani atatoa hizo maindi zote hapo
2026-09-20 10:59:45
132
Wangari Mbuthia🤍🤍 :
what if uyo mtoto anguke apo na uso ..then abreath mahindi ingie kwa mapua .weeeuh .i have traumah na vitu kuingia kwa mapua
2026-09-20 09:48:32
39
Lynn🥰🥰 :
funika viti jamani
2026-09-20 06:28:42
21
mum shan :
Wueeh my mum did this,panya zilijaa kwa nyumba😂
2026-09-20 08:23:29
16
Fancy Chepkorir :
for someone with ocd,this is giving me serious anxiety I can stay in this state
2026-09-20 18:02:46
12
Quin Vee ismyname :
jenga store nanii.
2026-09-21 05:47:22
8
THREE FARM GIRLS| 0741864065 :
Growing up in western this was our life every harvest season. Living room converted to store mnahamisha tv room ingine. I miss this ❤️
2026-09-21 04:53:17
5
charity quyaan :
nilikua napenda hii kazi ju atleast tungepiga moshene bila kusumbuliwa
2026-09-20 11:51:18
6
Chepkwemoi ❤️ :
hamjanipata na nduthi kwa single room nyinyi ...kumbe mtanicheka😂
2026-09-20 11:40:24
6
queen :
gunia ni how much bro
2026-09-20 08:58:32
5
Fess :
You people talk to much, NYUMBA ni yake, MAVUNO ni yake, the kid is happy memories have been created THATS HOW LIFE SHOULD BE hizi standards mingi mko nazo. #authenticliving 💯
2026-09-20 14:04:04
9
Babygal :
msijawaielewa mbona mahindi za kukula huwa zinakanyagwa na hazioshwi before kusiagwa
2026-09-20 12:15:56
8
KONOIN UPDATES :
nyumba hio kubwa safi hivo bro Haina hata store room ama hata visitors room
2026-09-19 20:06:08
33
Apolloh :
Watu hawaezi elewa.. My mum used to breed chicks in one bedroom then move them out after three weeks..
2026-09-20 07:17:28
5
To see more videos from user @zabbylinkgmail.com, please go to the Tikwm
homepage.