@ibramiboy: Leonard, nakushukuru sana kwa ushauri wako. Nimeupokea kwa heshima na naamini utakuwa na mchango mkubwa kwangu. Mungu akubariki sana kwa muda na mawazo yako. 🙏🏽#foryou #trending #trending

ibrami official
ibrami official
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 19 September 2026 17:15:26 GMT
40426
3729
60
61

Music

Download

Comments

ley57809
Ley :
Gian ameiona post
2026-09-19 19:31:06
2
ibramiboy
ibrami official :
Leonard, nakushukuru sana kwa ushauri wako na muda wako. Ushauri wako nimeupokea na nimeuthamini sana. Mungu akubariki kwa mchango wako na support yako. 🙏🏽
2026-09-19 17:18:57
52
user1668811422461
Hussein Rashid Chita :
Namkuba sana Ibrahim
2026-09-20 13:29:06
2
sadakhamis6
sada khamis :
sisi tunamtaka mama wahenga[Red heart][Red heart][Heartwarming][Heartwarming]
2026-09-20 04:26:05
1
minaababee1
Mama WahenGa✨ :
Afu Mumefanana bana
2026-09-19 18:14:48
11
mohdmakame280
BWENGO MOH'D :
pacha woo
2026-09-20 09:25:34
0
user678213573
ABD.ZOO :
brand new official tz one
2026-09-19 18:08:30
2
as_supa
Superi As Supa :
Hii level
2026-09-20 01:18:50
5
aboud_446
aboud..%& :
exactly
2026-09-20 13:56:19
1
ibbu.tz
IbbuTZ :
Maneno mazuri sana aisee....
2026-09-20 07:27:28
3
ali.baharia4
ALI BAHARIA :
mumefanana sana jamaayko
2026-09-19 18:28:14
9
makx264
makx26 :
nom family
2026-09-19 18:48:44
2
vinishpapy
🌴vini🍁shpapy☘️🌵 :
jamaaa umepoteaaa sanaaa🍀🍀🍀
2026-09-20 04:02:23
2
user744711529027419
nei :
mbona mmefanana
2026-09-19 18:30:27
3
mawio_zanzibar
Mawio zanzibar 💠 :
Anaetoa ushauri kashaowa.?😂😂
2026-09-19 20:41:18
1
twalib47marine00
Twaha/ENGINEER :
asnte kwa ushauri
2026-09-19 21:13:40
2
miss.lizy8
miss lizy :
😳
2026-09-20 05:53:54
2
pirika_12
pirika12 :
mnafanana
2026-09-19 18:18:31
3
black_gal01
Black gal🌚 :
Nauza bonnet nipo Zanzibar karibun vipenz
2026-09-19 18:31:55
4
user678213573
ABD.ZOO :
brand new tz nu one
2026-09-19 18:09:13
3
adamussi89
Adam🇮🇹🇹🇿 :
Baada ya ushauri itabidi ukamrudie yule ulie msema mwenye maziwa makubwa🤣🤣🤣
2026-09-19 17:20:59
3
pretty._.ilu.1
Pretty_ilu👸🌸 :
Mbn km mumefanana 😁
2026-09-20 07:41:01
1
sultan.usamah362
sultan.usamah362 :
mbona mnafanana saana 😳ama mmi ndo namakengeza
2026-09-19 18:53:25
3
keemlion_
ABDUL-HAKIM 🦁 :
ushauri gan huuu
2026-09-20 05:11:25
1
azum.ndende
Azum Ndende :
brother zingatia sana huo ushauri ni wa maana sana aiseee amemaanisha.
2026-09-19 19:07:26
3
To see more videos from user @ibramiboy, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About