@nyembotelevision: “CHAKULA KIZURI NI KILE KILICHOFUNIKWA!” Katika Kipindi cha Mtaani, Nyembo Tv imefika JET LUMO, YOMBO VITUKA, na kuzungumza na Dada Zabibu a.k.a TUNDA MAKE UP, ambaye ametoa mtazamo wake kuhusu wanawake wa kizazi cha sasa na suala la kujisitiri. Dada Zabibu anaeleza kuwa kwa mtazamo wake, baadhi ya wanawake wa sasa hawajisitiri ipasavyo, huku akisisitiza umuhimu wa mwanamke kuhifadhi heshima na kujisitiri. Na katika kutoa mfano wake, amesema: 🍽️ “Chakula kizuri ni kile kilichofunikwa, kwa sababu kifuniko husaidia kukiepusha na nzi na wadudu. Kikikaa wazi, nzi na wadudu wengine wanaweza kukifikia na kuking’ong’a.” 🤔 Lakini swali linabaki kwa WEWE MTATAZAMAJI: 👉 Je, unakubaliana na mfano alioutoa Dada Zabibu? 👉 Kwa mtazamo wako, mwanamke wa sasa anapaswa kujisitiri kwa kiwango gani? 👉 Mavazi na kujisitiri vina nafasi gani katika jamii ya leo? 🎥 MSIKILIZE DADA ZABIBU AKIELEZA ZAIDI… 📺 KIPINDI CHA MTAANI — Mtazamo wa Mtaa kutoka Nyembo Tv. ❤️ Like | 💬 Comment | 🔄 Share 📲 Follow Nyembo Tv kwa mahojiano zaidi kutoka mitaani kwako! Dondosha maoni yako kwenye comment — TUNATAKA KUSIKIA WEWE!

NYEMBO Tv
NYEMBO Tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 19 September 2026 17:31:37 GMT
1605
32
1
2

Music

Download

Comments

rjmankido
rjmankido :
maxhaallah
2026-09-19 17:34:07
0
To see more videos from user @nyembotelevision, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About