@akadir_tz: Najivunia sauti yangu. 🎙️❤️ Na zaidi, najivunia kila mmoja aliyesimama nami katika safari hii ya Kumbukumbu za Mtandaoni. Episode 3 za mwanzo zimenifundisha kitu kimoja: kuna nguvu kubwa katika kuyapa historia sauti. Asanteni kwa kila view, like, comment, share na ujumbe wenu. 🙏🏾 Hii ni mwanzo tu… kuna kumbukumbu nyingi bado tunazirudisha kwenye mwanga. 🕰️ Kumbukumbu zinaweza kupita, lakini simulizi zikipewa sauti… historia inaendelea kuishi. — Aikadi_TZ 🎙️ #KumbukumbuZaMtandaoni #Tanzania #foryou #viral #tanzaniantiktok🇹🇿

Akadir_ the voice
Akadir_ the voice
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 19 September 2026 17:32:51 GMT
11562
177
5
6

Music

Download

Comments

voice_of_zanzibar2
Voice Of Zanzibar (VOZ) :
keep going Akadir allah akusimamie uzidi kutupa vitu vizur tujifunze zaid
2026-09-19 17:46:43
0
neema3279
Neema 💞💞💕💕 :
[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-09-20 07:22:01
0
chenya391
chenya :
😭😭
2026-09-19 22:09:36
0
sulejames7
Munttary Sulley :
✌️✌️
2026-09-20 13:15:46
0
To see more videos from user @akadir_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About