@k2ga_music: Achana na uno hapo mwishoni 😂 Naomba umtumie mpenzi wako huu wambo Arafu Niambie kakujibu nini #tiktokkenya🇰🇪 #zanzibar🇹🇿 #tiktoktanzania🇹🇿
Jaman naomba mkiona mtu anauza kitanda na godoro, tv,jiko la ges na kafriji kadogokadogo.. msinunue tafadhari ni mweny nyumba anauza vitu vyangu. Tuwe na umoja jaman
2026-09-20 08:13:40
26
suuh💞 :
umenenepa k2ga 🥰
2026-09-20 04:23:18
11
ChicWithHerysone💫🦋 :
Kwa mbali namuona jonas wa polygamist 😅😅💔 anyway niache wenge the song is 🔥
2026-09-21 09:19:34
1
Jay :
mi wangu ananibluetick tu basi
2026-09-20 04:34:03
5
iamnaizen :
Mbna Spotify nyimbo haipo🥺
2026-09-19 17:43:51
13
nayrish sulle :
Mungu Nipe k2ga
2026-09-19 18:26:17
5
🎀Reevoice 🍒🎄 :
waoooh my husband🥰🥰
2026-09-19 17:46:57
2
ndakizesdaughter :
Nampenda huyu kaka mimi 🤗🤗🤗
2026-09-20 19:02:58
2
Princesskassalama :
inaitwaje nyimbo
2026-09-22 12:11:09
0
nimraty kp :
ulipotelea wap k2ga
2026-09-22 06:39:54
1
mamu_OG :
yaan saut kama king
2026-09-20 04:57:09
2
ODETHA PROSPERY :
umenyoa umependeza san
2026-09-22 10:18:08
1
Irene ndulan :
napend san nymbo zako kaka
2026-09-20 05:37:26
1
bettina john :
aaah jmn kwann umekata nywele
2026-09-20 05:14:34
2
Its MAYMA ✌✌ :
sauti kama alikiba jaman
2026-09-20 10:35:49
3
Diva G Official :
unapendeza san ukiwa na dred
2026-09-21 09:59:09
2
Khadija Rajabu :
umefanana na ex wangu colly
2026-09-21 20:35:16
1
G Accessories Arusha :
Sauti Kama Alikiba
2026-09-19 20:51:34
2
Re 👑 :
Unatoa lini basi siipati popote
2026-09-19 22:00:57
3
Aries :
Voice like Alikiba 🥰
2026-09-21 05:06:35
1
yam💝🫅 :
yaan kama king kiba nakupenda bure
2026-09-20 15:21:11
2
Shakira A. Banobi :
Wimbo mzur sana kaka❤️❤️❤️❤️❤️
2026-09-19 19:13:54
1
sisumnyama1 :
Bora msani Wang umerudi ten
2026-09-20 11:09:59
1
rahma dotto :
hivi wewe mume wangu nakutafuta mbagara kumbe upo huku
2026-09-20 05:34:43
1
Sally🥷 :
This song 🎧 drives me crazy wallah🥰
2026-09-20 06:31:24
1
To see more videos from user @k2ga_music, please go to the Tikwm
homepage.