Watu kutaka kutrend kwenye mambo ya watu mbona hukusema kabla hajatwambia kama anaumwa
2026-09-20 12:28:37
6
Nasra Mohamedi :
Shida ilianza kajala alivyosema anaumwa watu mhh
2026-09-20 14:47:27
7
MA AZIZA VIJORA QUALITY :
Siri ya mauti anaijua Allah pekee na si binaadam
2026-09-20 15:44:30
5
prisca :
muombe pia mtumishi
2026-09-20 08:10:10
2
pretty angel🌹🌹🌹 :
kajala usipuuze mi naamini sana watumishi
2026-09-20 20:21:58
0
user80019744550023 :
Kwa kipi alichokifanya haswa mpaka kimfikishe hapa jamani...mbona ni maisha ya kawaida ya kila mtu,au kwa kuwa yeye ni Kajala?
2026-09-20 22:28:46
1
mama khalylah :
hakuna anae juwa kesho yake weye yako waijuwa kuumwa sikufa
2026-09-20 05:54:49
1
Jacky ❤️ :
Kajala ahaana zambi bana
2026-09-20 19:39:58
0
user4245141533947 :
kalale hakuna anae kufa hapo kajala atapona Kwa jina la yesu[Pray]
2026-09-20 17:32:47
0
dorcus elias :
mungu am nusuru kajala
2026-09-19 18:31:14
0
Didah_003 :
mungu wangu
2026-09-20 11:57:43
0
nuru mhd :
ila watu
2026-09-20 16:52:47
1
mama gwamaka/Nuruh 🇹🇿🇿🇲 :
yani mliposikia anaumwa tu mmeanza na kutabiri mlikua wapi mwanzo?
2026-09-20 17:18:47
0
Neema Wambula :
naamini mungu huwa anongea kupita watumishi wa mungu siwezi kupinga mungu akubaliki mama umefikisha ujumbe
2026-09-20 15:13:21
0
rose :
acha utabiri y'a kifo. asa wanadamu mukisikiya shida y'a MTU njo munatabiri. kwa taarifa ametoka hospital wamesema iko sawa. Mungu njo anajuwa kuzaliwa n'a kufa.kwa Nini usimutabiriye maisha marefu? n'a kwa Nini usiende kwenye compte yake.Uyo mungu aliye sema pardon sana
2026-09-20 09:29:28
0
Mrs obedi🍭 :
Kumfata apana unaanika mtandaoni jamani mnajiamulia mambo
2026-09-20 04:31:54
0
neema :
achakiki ungemtafuta ukamwambia
2026-09-20 05:38:10
0
merry :
😥😥😥😥😥😥😥😥mbna muna mufanyia iv
2026-09-21 12:03:21
0
Zuwena Mariam :
ww ni mungu
2026-09-19 17:55:09
0
princess emma :
mbona hukumfata moja kwa moja kwa account yake? Waja mnamambo
2026-09-20 07:05:31
0
p totolaa iyan :
wew nimumgu
2026-09-20 16:48:15
0
Najma🥰 :
wewe ninani mpaka umtabilie mwanadamumwenzio kifo who are you siriyakifo nimungumwenyewe ndoanajua
2026-09-20 18:36:34
0
To see more videos from user @obby495, please go to the Tikwm
homepage.