@habarimpya_tv: Miaka 30 ya Bongo Fleva in Arusha,.

HabarimpyaTv
HabarimpyaTv
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 19 September 2026 18:31:07 GMT
78289
3288
85
69

Music

Download

Comments

neemamwwndq739
ney🦋🌺🌹 :
Si mama enzo huyuu jamani
2026-09-20 05:59:03
22
godfreychami8th
godfreychami587 :
nauza ferniture shy and tronik
2026-09-21 20:12:40
0
precious_tz70
precious_tz :
form 4 2008
2026-09-21 15:16:58
0
sebastian.nkona
Sebastian Nkona :
Niko MUCHS 1st year.
2026-09-21 12:49:24
0
lastbron.shaki
mama future :
nilikuwaga naskia nyimbo ila aliyeimba ndio namuona leo
2026-09-20 12:38:18
15
mamagswax
Vyombo vya kishua swax :
kwan at yuko wap jaman
2026-09-19 19:44:25
1
purelove491
purelove49 :
anazeeka na urembo wake wallah🥰🥰🥰
2026-09-20 09:33:59
12
babycandy455
Baby candy🥰🥰 :
Nilikuwa hata sina dhambi hapa
2026-09-20 18:41:51
5
philipine792
philipine😘 :
kumbe uyu mama ni mwimbaji
2026-09-20 11:43:33
2
agatha.felix46
Agatha Felix :
mimi ndo nilikuwa kwenye mapenzi
2026-09-20 20:49:13
1
brother.abdy
brother abdy :
Darasa la sita mpaka nasisimuka
2026-09-20 18:22:13
4
its_unbard
it's_manager :
darasa6
2026-09-20 18:24:14
2
milian301
mirly beauty point 🌸 :
🌸:Genz wanajifanya wanaelewa nyimbo za millennial 🤣🤣🤣
2026-09-20 14:21:38
2
rosedamian340
rosedamian340 :
kumbe ni wew
2026-09-20 17:28:57
1
suleiman26th
Suleiman :
A. T NDO MWENYE NYIMBO UYO KASHIRIKISWA
2026-09-21 21:30:33
1
dadysdaughter73
dadys daughter 73 :
mama mdogo nikumbatie😂😂
2026-09-20 18:25:23
1
.co.uk13
.co.uk13 :
Apa nilipo Nipo
2026-09-20 17:00:46
1
asizamiho35
assia miho :
chuooo☺️
2026-09-20 18:20:10
1
siriveli
Emmanuel :
Kipindi nachunga mbuzi 2007 kila saa nilikuwa naupiga huu wimbo kwenye radio zipo kama nokia
2026-09-21 17:48:51
1
frankluguzura
Frank Luguzura :
sijakula
2026-09-20 15:53:13
1
rashid.muhawi
Rashid Muhawi :
darasa la6
2026-09-20 12:25:27
1
dijjah3155
Dijjah :
ilikuwa mwaka gan kwanza tujue lbda🙏
2026-09-20 16:33:41
1
reneekessy756
Ira❤️ :
hatimae leo namjua mwenye nyimbo yake
2026-09-20 16:38:50
1
joyce.assey7
Joy w Assey. 🇹🇿🇪🇸 :
nilikua shule ya msingi nikienda salon kunyoa ndio unakuta una pigwa
2026-09-20 17:24:19
1
shirimacresanta
shirimacresanta :
aliimba mwaka ganii kwani huhu wimbo
2026-09-20 16:19:03
1
To see more videos from user @habarimpya_tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About