Mimi naomba mashekhe wetu wa twariqa watuwekee darsa la namna ya kuteza zefe watu wamechafua
2026-09-20 01:05:59
2
J Shokcs :
Sheehe uko sawa Allah akulipe In Sha Allah
2026-09-19 19:40:48
5
VIJANA NA UTANDAWAZI🧟 :
kwani baadhi ya watu wakiswali wamelewa swala itakuwa haramu
2026-09-19 19:44:46
1
user8867543781325 :
nipe hadith au dalili iliyokataza maulid kwa kuitaja jina maulid directly kama vile pombe ilivyokatazwa direct
2026-09-19 21:24:28
0
Naughty Sibling :
Bid'aa itabaki kuwa batwil hata kama wata badilisha namna ya kutetha...
2026-09-20 09:23:13
1
أبو محمد :
hakuna hata mmoja
2026-09-20 12:23:19
0
mashuhuri :
Nihivo ulivoteza
2026-09-20 06:41:27
0
souldernilabdulra :
una kituchamaana utufundisha
2026-09-20 11:48:59
0
user4358689065476 :
ovyoò88
2026-09-20 05:16:14
0
abou ssalam :
2026-09-20 00:08:24
0
abdalla ali gaedi :
kweli
2026-09-20 11:27:00
0
Ahmedi Aliy :
hizo niporojo
2026-09-20 06:16:55
0
AbuuMohamed :
uko swa shekh umesema ukweli
2026-09-20 01:42:27
0
ismi :
hamna jipya,mnafocus na choice za watu wakati kuna shida chungu mzima za msingi kwa ummah zinataka kua address
2026-09-20 10:39:11
0
Sada001 :
hatuache maulidi kwaajili ya watuwacheza upo
2026-09-20 07:24:51
0
JAGUAR :
Watasimama na kukupa dalili. Kuzusha kwao si jambo kubwa. Allah atuongoze jamii Islam.
2026-09-20 05:13:01
0
ali hd :
😁😁😁😁 duh!
2026-09-19 20:10:20
0
Faiz mbaruk :
swadakta sheikh
2026-09-19 22:21:32
0
mosaic :
MAULIDI sio ibada. Waiwezi kua na dalili ya kisheria. Sawa na jambo jengine la kheri ambalo sio IBADA. Tatizo MAULIDI kuilinganisha na Swala. Swala ni IBADA na. MAULIDI sio ibada. muhimu isiwe ina haramu ndani yake. Ni wazi ata ao masheikh wa MAULIDI hawakubaliani na uharam wowote ikiwa unatolea kwenye maulid
2026-09-19 20:08:20
0
jambojoy :
uloliona ni la kucheza TU ama ni upotovu wakusumbua?chuki na hasad zawasumbua,walicheza mahabasha,uliuliza walicheza vipi?
2026-09-20 06:53:16
0
manyota :
huyu nimzuka
2026-09-20 04:14:11
0
Abdallah Mwasiho :
hakuna namna ya kucheza mtafika mmechoka haswa
2026-09-20 09:09:58
0
NANA BEAUTY COLLECTION :
very true ver soon 60 yrs from now long aftr most of this misleaders r gone disco all over in masjid in homes. terible misleaders
2026-09-20 05:04:17
0
@ abuu junyd :
mshale huo
2026-09-19 19:55:26
0
To see more videos from user @naupenda.uislam, please go to the Tikwm
homepage.