ase nimejikuta natoa machozi nimekumbuka mbali sana mungu nimuweza wakila jambo
2026-09-20 20:06:09
4
lovely :
apo kuingia kwanza unaulizwa umeoga, haitoshi unanuswa ndo uingie ndani,apo ata mtoto wa mwenye nyumba akikuumiza ni kuvumilia tu ,kosa sio lako utaambiwa wewe ndo umefanya nimekumbuka zamani sana .
2026-09-20 19:10:27
3
DADIDADI :
yaaan usitushaurii mm nlikuaa mwenye baskel namfukuzaaa mpakaaa naikamataa ndo nazimwaaaa hahahaha saiv wap mungu nimwemaa
2026-09-21 18:18:09
1
asha m ally :
kama hujapitia hii hali mstushaur kuhusu maisha 💔💔💔😭😭😭😳😳
2026-09-20 19:01:57
2
To see more videos from user @saidi.mussa.manen, please go to the Tikwm
homepage.