Mimi nilidanganya nimepata three ya 24 na yeye akakubali nikaficha cheti changu kama cjui Siri gani kunacku alikuwa anatafuta cjui nn akakiona mm nilikuwa kazini gafra naona kakipost status😭
2026-09-20 06:40:49
237
user37379835824052 :
ahhahah umeend nacho chan nn ss n ww vitu km hivy nihazin [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-20 17:35:22
0
Raqum :
bola ya we mimi nilimdanganya mwaka wakuzaliwaaa juzi kaona chet chang cha kuzaliwaaa kumbeee mm kibibiiiii yooooh😂😂😂😂😂😂😂