@official_ankot: TUTAFUTE NA TUISHI JAMNII.

official_Ankot
official_Ankot
Open In TikTok:
Region: VN
Saturday 19 September 2026 19:33:19 GMT
143068
13004
446
1107

Music

Download

Comments

kisingostore
Kisingo Store :
Kula maisha kula maisha... Sadaka Kula maisha kula maisha.. Kuhonga Kula maisha kula maisha.. Wazazi
2026-09-20 04:44:31
251
.kate_7
🌹Kate.🧿 :
Well said anko❤️💯
2026-09-21 13:15:06
2
veerh168
shubi🦋 :
nipo usukumani uku jamn watu wanaela ila awafananii kabsaa
2026-09-19 19:50:47
138
lingasome
Mwakazi,s :
Have you ever thought of doing a podcast.Recently you have been spitting facts and wisdom.I believe watu watajifunza sana.
2026-09-19 21:07:07
234
pink.mellow6
Pink mellow :
Kwa kifupi tunasema kura maisha
2026-09-19 21:02:40
51
myrah12090
@she'scryingmom♍️ :
sekemleke wa chandege[Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-20 11:29:31
2
salhameddy89
salhahamady143 :
[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved] mbona insomnia...
2026-09-21 07:57:36
2
princess._.sesilia
princess _sesilia🦋🇹🇿 :
eeeh Bora nimeona hii post moyo wangu umekaa na Amani mana nimetoka kujifanyia shopping ya laki tatu roho ilikuwa yaniuma siku nzima haya nilale sasa [Laugh approved][Laugh approved]
2026-09-19 21:28:17
79
shattu_companyltd
SHATTU WINDOWS :
Why imsomniaa😂😂😂😅
2026-09-21 13:38:09
0
momomoney43
Monica Mwakibete💎🇹🇿 :
Hela natafuta sana na Mungu ananibariki ila pepo la ubahili ndo linanitesa
2026-09-20 07:36:52
46
mishyboutique00
Mishi :
nikiwa na laki5 tu bank sikai sehemu moja😂
2026-09-21 09:41:09
19
sheila_kidala
Sheila :
nijinulie router mwez huu
2026-09-21 11:18:01
8
celin_kendrick
Celine ♑️🥰 :
Anko t the one and only sahv n facts tyyu unatemaa darling
2026-09-20 05:31:26
6
scolalyimo
aymtonga :
nmejifunza kutokununua makorokoro Bora nichelewe ila niwe na kitu Cha maana
2026-09-19 21:49:33
32
beatricechaula693
Beatrice Chaula :
Uzuri uncle T unaongeaga ukweli
2026-09-19 19:58:24
31
orezi.wizzy
Orezi Wizzy :
I agree anko
2026-09-20 11:58:03
0
janeth.julias1
Janeth Julias :
Nilichogundua mimi naumwa insomnia😂😂
2026-09-20 19:13:25
5
cute.jadah
cute Jadah 🇹🇿🌷🇴🇲 :
it's okay uncle t
2026-09-20 05:35:35
0
mariamhassan5111
Mariam Hassan :
🥰🥰 sema anko unatupambania sanaa ukwel mtupuu
2026-09-19 19:49:00
25
mwalu244
Mwalu :
Insomnia 😂😂😂😂
2026-09-19 20:19:39
5
bahatinjegite1
NjegiteB :
anko Leo umesema neno bana big up saaaanaa
2026-09-20 08:40:04
11
lizzy_beauty_haven
Lizzy_beauty_haven :
Ila insomnia🥹
2026-09-19 22:44:22
12
tammysalum
Tammy Salum :
Unasaidia sana watu,Mungu azidi kukubariki sana.
2026-09-20 14:19:30
5
ash_0078
Ash🤎 :
Insomnia ni ukosefu wa usingizi
2026-09-19 20:00:02
10
mikomwakyusa22
mikomwakyusa22 :
Niko na wewe mpk mwisho. Una akili sana Twalib ila wajinga na wenye wivu na chuki hawawezi kukuelewa hata siku moja. Mungu akutunze
2026-09-20 09:45:21
5
To see more videos from user @official_ankot, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About