Shakh mm najiona nna jeuri sana haswa mtu akinikera naweza futa ht namba yke ya simu nisiwasiliane nae tena dah😥
2026-10-01 08:19:24
0
Zulfa@ :
kweli kabsa
2026-09-29 10:39:46
0
Upendo lebulu :
Ni mimi kabisa
2026-09-20 05:42:49
0
Shady💕 :
Sasa ucwe unatutolea siri zetu🤣🤣
2026-09-26 17:23:28
0
Mamu ❤️ :
Mimi ndo jeuriiii uwiiiih jeuriii namaanishaaaaa sijuii lakini 😂😂
2026-09-30 12:38:07
0
user8459950574210 :
mbn unatutoleya siri yetu🤣🤣🤣wenye hizo herufi dr
2026-09-20 08:01:16
1
zakia.mustafa,🥰 :
kabisa
2026-09-20 16:09:12
0
0687833731 :
mhhhh kama nmekuelewa vire
2026-09-20 17:06:12
0
Zulfa Elias :
shekh mm Nina herufi z iila mm Nina kiburi sana najitaidi ila swz
2026-09-26 14:07:09
0
Vaileth :
asa mbona mmeifungia jamaniiiiiiiii 🥹
Mimi ni Z Mme wangu ni B yaan nyumba yetu ni haielewek jaman Mme wangu ni mbishi tunapigana Kila siku yaan mwili wake umekaa meno km Tattoo tukiachana siku mbili tu tunarudiana na km mtu aliingilia ugomvi wetu tunamgeuka baadae jaman hebu ifungue ili wengine 2ajifunze Zaid 🥹
2026-10-01 05:27:33
0
zuu zuhura og :
m ndo sikubali kabisa hadi kielwrke🤣🤣🤣
2026-09-27 17:28:26
0
twin momB♡♡ :
daah cjui itqkuwaje mm N na mme wangu B na kwel wote wqbish
2026-10-01 12:36:27
0
To see more videos from user @said.sure8, please go to the Tikwm
homepage.