@.tibaya.uakika: Replying to @salomekefa561 #kenyantiktok🇰🇪 #motivationalvideo #tanzaniantiktok🇹🇿 #ugandatiktok🇺🇬 #usa🇺🇸

CALL🟢+255799190879.
CALL🟢+255799190879.
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 19 September 2026 21:58:57 GMT
42124
1049
45
118

Music

Download

Comments

nurzfahadat.babaa
Nurzat babaa :
nmepata jumla 11
2026-09-20 08:02:53
4
aneth.aneth.abdal
Aneth aneth Abdalla :
mimi nimepata namba 8 maji maji nayafanyajeee
2026-09-20 19:53:34
0
ummynoulla
ziada🇧🇮🇸🇦 🇦🇪💪💪💪🙏 :
WA 11 atwambie tutafanyaje yai jamani
2026-09-21 16:42:58
0
aishery11
Mrs Aishery :
jmny kweli hichi kt
2026-09-20 20:01:31
1
stevenlasco7
Rotini :
machester united kafanya nini tena
2026-09-21 12:03:34
0
saidathunani
cheni boy :
mimi nimepata maji
2026-09-21 04:34:41
0
lovelly923
@lovelly :
mm cjafaham unawez kuelekeza tn
2026-09-21 17:03:05
0
aminaomary864
Amina Omary :
jamani mbona jina langu mnapenda kulityumia vibaya jamqni kila kitu amina ah mi staki bwana😂🤣🤣
2026-09-20 11:50:29
2
aisha.binti.kashin
Aisha Binti kashindi :
kwani Amina Anasemaj
2026-09-21 05:57:44
0
raya.nassor1
Raya Nassor :
mm nimepata no 8 nifsnyeje
2026-09-21 12:07:01
0
ryd0755
ryd :
jmni mimi km n moja
2026-09-21 14:53:28
0
christian.mwaka5
Christian Mwaka :
Sio kwa watoto wa 2000
2026-09-21 09:08:52
0
user8137813283771
user8137813283771 :
namepata jumla 13 nafanyaje
2026-09-20 04:40:35
0
billionairebaehandbags
billionairebaehandbags :
Mimi nimefanya nimepata 11 ambayo ni upepo nafanyaje
2026-09-21 13:31:16
0
anifa.abigael
Anifa Abigael :
nimepata 13.
2026-09-20 07:05:01
1
user8260695715546
user8260695715546 :
enhe kama niupepo unalifanyaje hilo yai au kama niudogo
2026-09-21 04:34:47
0
user5925439671526
vee chityau💖 :
mi nimepata 13
2026-09-21 11:11:54
0
twahir836
🔥꧁JAMMAL RAYA JR꧂🔥 :
na je ni namba 12 ni maji kwahio haulichomi walifanyaje ama waliweka kwa maji?
2026-09-21 09:03:17
0
user8176181336074
kyeku.. :
kama ni udongo nafanyaje kaka
2026-09-20 20:37:29
0
mariamharuni3
mariamharuni97 :
iv unajua majina yakina Abduliazizi Abdulnasri ss ukijumlisha na langu unapata eluf ngap na inakuwa ninyota gan
2026-09-21 01:16:55
0
sadatyahya8
Getrude Mbogo :
ikiwa ni maji unafanyaje shehee
2026-09-21 03:43:24
0
kibwana44
Alicia :
Yangu ni namba 10
2026-09-21 18:31:25
0
love.math20
Love Math :
nikweli
2026-09-21 21:59:57
0
_unaidah
#_Unaidah 😍😘 :
anaeluf saba nielekez
2026-09-21 02:40:08
0
babrapaul7
babrapaul73 :
tusaidiye
2026-09-20 06:12:18
0
To see more videos from user @.tibaya.uakika, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About