@abuu_naufal: KUWENI NA TAHADHRI NA HUYU KIJANA NDUGU ZANGU SIO MUISLAMU ANAPOTOSHA WATU POPOTE MTAKAPOMUONA MSISIMKILIZE MTAPOTEA NA TUTAENDELA KUMBAINISHA INSHAALA @IBNU SHARIFF ALI @TheRealLion_@Salaf✓ @Abuu Zainab @ABUL BANAATI MUHAMMAD @Salim @ABUU IRFAAN NASSOR @abuuzakir @OSMAN ABU BAKARI @MSAGATY DA'AWA @Salum DA'WA #daawahassalafiyyah #TAWHEED #SALAFIYY #FYP #abuu_naufal

𝐀𝐁𝐔𝐔 𝐍𝐀𝐔𝐅𝐀𝐋
𝐀𝐁𝐔𝐔 𝐍𝐀𝐔𝐅𝐀𝐋
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 19 September 2026 22:10:08 GMT
24180
788
189
204

Music

Download

Comments

agent_majumba
AGENT MAJUMBA :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] RADDI KALI SANA
2026-09-21 10:20:26
1
mbarouk05
mbarouk :
kama vp tumtangulize mbele za hakki
2026-09-20 05:21:25
48
user81676014808221
Frank :
jamaa anaelimu vzur sana anasema haki kabisa
2026-09-20 11:45:37
5
usergeofrey1998
Mwinjilisti Geoffrey RukatilA :
kwasababu anasema ukweli au kiukweli tusiweke dini sisi wote tutahukumiwa kadili ya matendo yenu
2026-09-20 16:26:14
5
justusmaneno
Slim Fitt.. :
Huyu bro yuko sawa kabisa.
2026-09-20 06:53:46
7
stering374
Stering :
huyu akizungua hatutaishia kumkufurisha tu na motoni pia tutampeleka [Big LOL][Big LOL]
2026-09-20 04:38:21
10
sammy.kiddy
SAMMY KIDDY :
yesu ni njia ya ukweli na uzima
2026-09-21 05:59:50
1
aminakinanda885
aminakinanda885 :
mmmmmm
2026-09-20 17:13:42
0
ismailiidarusiwazirihizz
ABUU RAYHAANAT :
huyu mtoto afanyiwe raddi kwa wingi maana kavaa kanzu na kofia kwaiyo anapoteza watu hasa wale wanaotafsiri elimu ya dini ya kiislam kwa kanzu na kofia
2026-09-20 07:47:10
9
abuuh350
🕌Abuuh Mu$£!m🕋 :
innah Lillah waynnah illah rajiun ni msiba mkubwa uwooh Allah amuongoze huyu rafizwa apite njia ya haki
2026-09-20 04:38:23
7
kibarua_kazi1
CHAMANDA_Tz :
WATAKAO INGIA PEPONI NI WAUMINI ILA ALLAH HAJA SEMA WATAINGIA PEPON MUSLIM KWAIO MUELEW NNI ANAONGEA MUSITOE HUKUMU AU KUNA SEHEMU YA SURA ILIO SEMA MUSLIM ATANGIA PEPON
2026-09-20 18:47:06
4
holly.books254
Law :
huyu ako sawa anafunza vzr
2026-09-20 06:50:25
1
masterg064
MASTER G 🔵✓ :
jamaa yupo sawa.
2026-09-20 06:12:19
1
andrew.sifuna5
Andrew Sifuna :
kijana wewe ni kiongozi
2026-09-20 11:53:37
0
user4783497373431
Mi@m shift 👽 :
mbona anatoa mafunzo mazuri sna
2026-09-20 15:21:32
0
melichadesfelicia
Melichades Felician :
Acha aongee ukwer
2026-09-20 15:00:32
0
failuna.hamisi4
Failuna Hamisi :
ila kumuita mwenxio kafir imeandikwa wap jaman mbona vitabu vya din vinakataxa kumdhihaki mtu au kumukashifu mtu ni vibaya nakujiona bora kuliko mwingine ni vibaya pia mm ushaur wangu aachwe atoe maoni yake na kama hayupo sahh pia aachwe maana adhabu adaptation yy
2026-09-21 11:29:17
0
hellen.fliakos
Hellen Fliakos :
Umetumwa na aliyekuumba ueleze kweli yote :Mungu akubariki na kukulinda kwa jina la Yesu
2026-09-20 10:12:14
0
queen.mejor2
A͆&H͆💍 :
lenyewe halina ata nuru 😼 moyo wake ushapigwa muhuri
2026-09-20 06:13:59
5
binsaad2johar
bin saad johari :
huyu mchungaji
2026-09-20 21:33:08
2
user81676014808221
Frank :
jamaa anaonge ukweli uku vzur
2026-09-20 11:44:03
0
janoma67
janoma67 :
ukweli unauma sema kijana
2026-09-20 07:53:09
3
mjukuu.wa.babu3
Mjukuu wa babu :
Mchungaji huyooo
2026-09-20 10:41:41
3
ogmelectricalinstalation
Oska Mmile :
wanapanga kummaliza na mungu atamlinda tu
2026-09-20 13:58:42
0
kakule.wasi4
Kakule Wasi :
sheikh wa MUNGU mzuri saaanaaa bana
2026-09-20 11:50:35
0
To see more videos from user @abuu_naufal, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About