huyo kweli mamba daahh[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-21 22:10:25
0
tiffah kidinilo 😘 :
ndaro kazi anayoo😂😂
2026-09-20 04:01:13
137
Mimah :
Sasa wanamuitag wa nn😅😅😅
2026-09-20 04:45:57
89
Vinny master 🌟 :
tatizo bongo ukisema ukweli unakuwa mbaya
2026-09-20 04:49:15
91
bahati :
Sasa wanamuitaga wa nini[Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-20 03:35:22
18
✨️J_Music🎼 :
Matusi ya nini watu wenyewe mshapotea kwenye game mnabebwa tu.....
2026-09-20 06:40:36
28
Toure Tz :
ndaro sema
2026-09-20 13:37:08
0
Namiry😍🤩🤩 :
sijui kwanini nilizima tivi nikalala yamenipita
2026-09-20 07:26:10
11
kijana Amani :
Sasa wao wanamzimia maiki ya nin Sasa mtu asiongee na mashabiki kutukana hajatukana jaman
2026-09-20 04:47:06
17
Official @lauri :
Sasa hapo Dudubaya ametukana wapi mpaka wanamzimia maiki
2026-09-20 04:17:08
12
SadaAbdul tz :
Sjui wanaliletaga la nn
2026-09-20 06:34:09
5
chimoo :
alisema nn mbona alizomiwa maic
2026-09-20 05:03:10
11
manizo :
mambaz 24 live youre life[Tears of joy]
2026-09-20 02:41:56
9
Baga :
hbr ya majukumu Jeshi la wanainchi Tanzania, swali langu nihv walisema hairuhusiwe raiya yoyote kuvaa nguo ya jeshi je hapo dudubaya amepanda juukwan akiwa amevaa nguo za jeshi je dudubaya anacheo gan kataka hii inch yetu mbn wanainchi tunamfahm kama mwanamziki na sio mwanajeshi
2026-09-20 08:18:45
4
GASPER KISINZA :
SAAFI SANA MAMBAZ.....GOOD.....
2026-09-20 02:29:41
10
paulo legend 👑 :
nakubali meja n meja2 hanaga mbili kwenye mboja
2026-09-20 02:13:50
10
Merry_bebee :
Mbn wametoa sauti jmn atujaskia surprise
2026-09-20 05:06:59
7
mwamba :
dudubaya mungu akuweke sana
2026-09-20 06:18:41
7
bk dreadlocks :
daaah yupo kama mm kwenye misimamo💥💥💥💥💥💥💥🕺🕺🧎
2026-09-20 22:15:17
1
solankeofficial37 :
mambaz 24🔥🔥🔥🔥🔥
2026-09-20 08:25:02
4
Amina Al Watan :
Sisi wa chunga tuko pamoja na dudu baya
2026-09-20 07:41:50
4
Star xee 🌹 :
tatizo ana matusi sana
2026-09-20 18:24:14
1
Khamidah salumu :
😂😂😂 Dar ivoivo mwanza akasema 🙌🙌 arusha harbu 😂😂😂 mwamba
2026-09-20 11:00:50
3
G 7 :
Sasa kama mtu mwenyewe anatoa matusi kama hayo na kwenye TV tunaangalia na watoto afu matusi ndiyo kama hivyo hawa wototo wetu wanajifunza nn
2026-09-20 08:15:04
1
Which Country Is This..? :
Which country is this.
2026-09-20 05:19:38
4
To see more videos from user @habarimpya_tv, please go to the Tikwm
homepage.