mimba ni nzuri kama ulitamani mtoto kwaajir yako sio kwa ajir ya mwanaume
2026-09-20 15:56:20
189
💃bint osemu💃 :
mimb n kwer n nzuli ukiwa ujazaa na far ila mimba n nzuli ukiwa ndan kwak kwa mwaume wako
2026-09-20 17:11:20
88
Lydia :
Pregnant is good if u have your own money not depending on somebody pocket ask me why😂😂😂😂
2026-09-21 11:03:34
1
Fraternal twin mum🥰 :
mimba ni mzuri ikiwa ni wewe ulitaka kuzaa [Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-09-21 11:25:07
1
Olivia Wema :
atakama nikizaa nafara bado ninzuri tu kwasababu mtoto ni baraka
2026-09-20 16:02:36
37
Maggie_💞 :
mimba ni nzuri ikiwa aliye kupa unampenda
2026-09-20 16:43:36
48
beautiful Charu :
mimba ni mnzuli ukipataa mwanaume anaye jielewa
2026-09-20 15:31:40
106
@mishyra2022 :
nashindwa kueleewaaaa
2026-09-21 10:45:26
1
Mo Elisha Fan :
ilo nalo neno
2026-09-21 10:09:15
1
rishamapozi :
mimba ni mbaya kwa wenye kizazi🥺😭
2026-09-20 19:51:01
16
Mkunga :
Mimba ni nzuri ukiwa humjui aliyekupa mimba
2026-09-21 04:51:52
6
MD.ONES❤️ :
Mimba ni nzuri ukiwa na pesa ya diapers
2026-09-20 17:30:12
15
Khadija Maulidi :
haswaaaaaaaaaaa💝💝💝
2026-09-20 21:13:09
1
suzy philipo🥰🥰 :
comment za wanaume mbna sizioni🤣🤣
2026-09-20 16:08:03
9
Linah Frank(yanga daima😘💚💛 :
sitaki kuja kufanya kosa nilofanya Mwanzo🥹🥹🥹.....Ewe Mungu naomba unipe baba sahihi na Bora kwa wanangu 🥹🙏
2026-09-20 18:57:24
24
Eva meshack :
yan natamn kubeba hata asaiv jamn mungu nile tee bc wa kuzaa nae 😁😁
2026-09-20 16:02:58
6
Ukhut Love :
Mungu Ambaliki Mama yangu Mkwe na Mawifi Niliolewa na Fala Mpaka Najifungua Tena Mapacha Hata vifaa Vya Kujifungulia Alinunua Mama Yangu Kwahyo Hapo Hata Kanga ya kuwa funika Watoto Nilikosa Na sio Kwamba Alikuwa Hana Na Sio Kwamba Nilikuwa Hawala Hapana Mke Wa ndoa Na Nina ishi Nae😢 Ila Naweza Sem Asante Mungu Kwa yote 🙏🙏
2026-09-20 17:45:29
10
Anjelina Nkoswe :
mimi nilibeba yafala ivi alafu ety nilikua nimeolewa siku ya kujifungua mpaka nikapewa nguo na jirani yangu Yani sitosahau aibu ileee
2026-09-20 13:45:47
44
NASRA ngoda🤲🕌🕌 :
mimi nataman ila nikiwaza bas🤲🤲🤲
2026-09-20 09:22:37
29
lily 😍💕cruzz❤️ :
mimba ni nzuri ukiwa na pesa yako
2026-09-20 12:46:27
23
🦋PAULINE🦋 :
Fala wangu alikufa
2026-09-20 09:13:49
13
mamake blee🇰🇪🇦🇪 :
fala wangu sijui alipotelea wapi from 2017 upto now😂😅😳😏🥺
2026-09-20 11:40:11
26
To see more videos from user @_loyalking2, please go to the Tikwm
homepage.