@pika.na.mimi: ☕️ Chai ya maziwa ya unga yenye harufu tamu na ladha ya kipekee 😋❤️ Nimetumia: 🥛 Maziwa ya unga 🌿 Hiliki 🤎 Mdalasini 🌸 Karafuu 🍃 Mchai chai #ChaiYaMaziwa #ChaiYaViungo #MapishiYaNyumbani #SwahiliFood #TanzaniaFood

pika na mimi
pika na mimi
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 20 September 2026 04:33:19 GMT
63870
1362
34
64

Music

Download

Comments

user1214495295804
rahma :
ulivyoitia maziwa yaunga umeiharibu kipenz.
2026-09-20 13:16:20
3
user1994418105982
ms03 :
ukiya yakoroga kidogo na maji ndo utie inakuwa rahisi kuchanganyika 😅
2026-09-20 06:50:17
10
mc.vullu
Mc vullu🎙️ :
Mm mpaka niyakoroge pembeni. Nipate pest mzito ndio nimimine kumbe ata kuyamimina juu yanafaa. Bilakuyakoroga
2026-09-20 09:05:49
8
brown.sugar048
Brown sugar :
chai ndefuuuu
2026-09-20 08:00:58
2
queennahada
Nahada :
In English please maa
2026-09-20 18:20:54
0
suleimanally837
MAGETI :
Bado na bamia
2026-09-20 18:09:55
1
muhjr16
Might🫶💯 :
Chai inapikwa 🔥
2026-09-21 16:12:49
0
the8thstreetbuddy
The 8th street Buddy :
elf tano kikombe nalipa
2026-09-21 14:22:08
0
mrsdadirow1
Amiyra’s mom❤️ :
Ikiwa y’a rangi pambeeee bila maziwa weee utaina dunia nzima kwa rehe nzuri
2026-09-20 18:56:09
0
mudakiungo2
Mudakiungo27 :
Mashllh ❤️
2026-09-20 10:15:51
0
jibaba18
mittwan coolest :
Chai mubasharaa
2026-09-20 08:10:04
0
ladyt037
tabby ❤️ 😍 :
chai yangu pendwa hila ulcers sasa zaanza kunilemea
2026-09-21 18:36:42
0
hafidhou05
Hafidhou05 :
inanukia mpka kwenye like
2026-09-20 12:49:30
0
abu_junaid_2020
Declan Khamenei :
viungo mix ndio nini
2026-09-20 09:36:57
0
mrsnassour
آشلي نصر🥀 :
Mashallah 🥰
2026-09-20 05:10:56
0
mudy.meja
mudy meja :
❤️❤️
2026-09-20 07:46:04
0
reshna98hashyback
Reshna98hashybackup :
🥰🥰
2026-09-20 07:07:31
0
zeyyanashamis
zeyyanashamis :
mashallah 😍
2026-09-20 05:26:15
0
careen.pascal
careen Pascal🧚‍♀️ :
Maziwa km maji ya nazi
2026-09-20 06:00:52
0
wissambenyeder
el chapo guzman :
watu wanakunywa chai... si wengine tunakunywa lami😂
2026-09-20 14:30:31
0
user1214495295804
rahma :
aaa napili pili manga tanga[Innocent]
2026-09-20 13:17:55
0
pakia6060
Abuuh :
Chai ya kileleni 🤣🤣🤣
2026-09-21 09:26:24
0
ikungajamilajamil
Garmiller Ikunger🌹💞 :
Mwanzo umeanza vizur ,but mwishoni umewafanyia komesha🤣
2026-09-22 10:59:41
0
To see more videos from user @pika.na.mimi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About