Which reference did you use to come to that conclussion🤔
2026-09-20 16:47:06
0
Mc PapaRazzy💪 :
shida inakuja hapa Hawa wanasema wwanamswali mtume Kwa mungu amlaze mahali pema Peponi iyo Ni Sawa, lkin Qur'an ikisema hakika Mungu Na Malaika wake Wanamswalia mtume mnafaa kuamini wanasema Sio kumswalia vile unafikiria, eti mungu anamswalia mtume ili yeye mwenyewe ampe mtume baraka.
2026-09-20 07:28:03
6
wa hekma :
wenzetu yesu amekufa ili nyie msiwe na dhambi wenzetu hamna zambi yesu amebeba zambi zenu zote
2026-09-20 09:07:15
11
rui sindy :
Unapomuombea mwenzako dua ni sawa nakujiombea mwenyewe. (Maandiko)
2026-09-20 10:22:08
5
@Ebby_tz🫢 :
Tuache kufuatilia imani za watu, tupambane kujitakasa na kuwa watakatifu maana dini haimpeleki mtu mbinguni bali ni utakatifu na njia pekee ni YESU KRISTO. 😂😂
2026-09-20 10:54:43
4
MRS SALUM :
nimetamani kutukan ila namuokopa Allaah
2026-09-20 18:40:04
0
አልሀምዱሊላህ አለኩልሀል 💚💛❤️ :
atayesu amesema anataka rehema siosadaka kijana sisi tunawaombea mitume wote
2026-09-20 09:30:01
2
yusufnoor729 :
mbona Yesu alisema hataki sadaka bali rehema 😳
2026-09-20 13:57:30
1
Tina Lululey :
kila mtu atabeba.. mzigo wake. hakuna mtu anaweza kuswalia mwenza ukifa kitabu chako mungu. anafunga
2026-09-20 10:50:29
1
Sam🇹🇿 :
hii ni maajab 😅😅😂
2026-09-20 05:49:45
1
Juliana trends :
ndio, YESU Kristo ni Kila kitu😅
2026-09-20 12:38:03
2
Abduly salumu :
elimu ni muhm sana
2026-09-20 10:01:33
1
2ppaTz :
Yesu Kafa Msalabani ili Wewe Usiwe Na Zambi.
2026-09-20 09:03:46
0
kasonga jr_ :
usisahau hata nyie mnaosema alikufa kwaajili yafhambi zenu kunaandiko linasema kila mtu ataubeba msalaba wake, yakaisali mpe kaisali. ko hata yeye ataubeba msalaba wake kama mwanadam maana alizaliwa, mnachekesha
kama ulivyosema Kila mtu atabeba msalaba wake ,basi acha udini waache waislam kwa kile wanachokiami, na wewe ongelea na bak na unachokiami ni jema zaid,jikite katika Imani na Iman Yako katika dini Yako mambo meng kaka ya kupambania sio udini kuna changamoto ya watu kwenda nje ya njia ya Mungu kimatendo kama uzinzi , ushirikina,ufitinishaj kama unapambania mambo ya Iman vyema kwa Imani Yako jipambanie nyumban kwako pawe sawa na itakua fahar na utawavutia wengine kupabenda kwako ila kutengeneza mitazamo ya kidini na kubeza nyingine wala sidhan kama kuna hekima , Mungu atuongoze njia njema katika Iman Yako na kupigania vita vyako na kuja kutwaa utukufu wa mtoto wa Mungu
2026-09-20 19:00:22
0
vaydepretyvaydepr :
Nashindwa kuelewa 😁
2026-09-20 09:03:14
0
To see more videos from user @baba.jr44, please go to the Tikwm
homepage.