@ukerewe_: Miaka 8 sasa imepita, tulipoteza ndugu jamaa na marafiki. Imepita miaka mingi sana lakini mpaka leo huwa nikikumbuka jinsi tukio lilivotokea naona kama ni filamu🙌🏾

UKEREWE FINEST
UKEREWE FINEST
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 20 September 2026 04:43:25 GMT
14051
761
73
41

Music

Download

Comments

paskazia.lazaro8
Paskazia Lazaro :
poleni. san
2026-09-20 08:35:10
0
user6373934292879
Micha@maunyam :
See you again my relatives
2026-09-20 14:32:18
0
user3350615630465
user3350615630465 :
Rest in peace
2026-09-20 12:25:06
0
van.boy79
UKEREWE FINEST :
Kwan tyar ishafika miaka 8😳😢
2026-09-20 06:04:36
3
mgeta321
nyamburimdogo❤️❤️❤️ :
da umenikumbusha kaka yangu dah😭😭😭😭😭
2026-09-20 05:31:46
1
asia.shabani66
asia Shabani :
mi baba angu aliondok nahii fery
2026-09-20 11:54:02
1
user7771242803783
[email protected] :
da inauma kaka
2026-09-20 08:01:08
2
user15618588520972
kasher finehas :
Amen
2026-09-20 08:08:56
1
dicksonmgeta790
Dickson Mgeta :
mungu wapeni pumziko la milele mbinguni[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-20 10:46:34
1
theopstamasinde
Theopsta Masinde :
wapumzike kwahamani wapendwa wetu
2026-09-20 18:23:26
1
aavvllllvvvvvvvv1
🖤VR🖤 :
Kuna ndugu yangu alikuwa mfanyakazi mwanzo alikuwa Ngoma badaye Ukara na umauti ukamfika,raha ya milele uwape Ee Bwana na mwanga wa milele uwaangazie,wapumzike kwa amani,Amina😔
2026-09-20 05:36:33
1
faridamzuma
pls😕 :
umenikimbusha ndugu zangu😭😭😭😭😭😭😭😭wapumzike kwa amani
2026-09-20 16:11:57
0
roda43160
roda :
pumzikeni kwaamani
2026-09-20 17:34:02
0
faluku563
faluku :
kumbuka sana nilikuwepo aise nilimpoteza lafiki yangu😭😭😭
2026-09-20 18:08:36
1
witness.julius0
Witness Julius :
Lafiki yangu namkumbuka sana😭😭
2026-09-20 17:06:57
0
regzach
Regzach. 🤑 :
Mungu awapunguzie Adhabu ya kabuli
2026-09-20 16:13:36
1
elizaelizabeth5838
Elizabeth :
polen sana jaman😭😭😭
2026-09-20 16:17:57
0
celechris4
Chris :
tuendelee kuwaombea wapumzike kwa aman
2026-09-20 17:03:47
0
user4003021416334
Diana Juma :
Dah umenikumbusha mbali sana😭😭😭😭
2026-09-20 15:25:22
0
frolashidutu
frolashidutu :
Mungu awape pumziko la milele ndugu zetu walio tangulia
2026-09-20 15:10:36
0
linah.bby3
linah bby 😘😘 :
me mama angu wa ubatizo aliondoka na hii ferry jmn 😭😭
2026-09-20 19:10:08
0
user6835849476070
CAROLINA MWESA :
wapumzike kwa amani
2026-09-20 20:21:03
0
user6708254031097
reytone :
wapumuzike kwa Haman umenikumbusha mengi
2026-09-20 16:07:26
0
catherinegatawa
catherinegatawa :
wapumzike Kwa amani
2026-09-20 15:28:33
0
williammasatu
WILLIAM :
Asante kwa kutumbusha kuwaombea ndugu zetu waliotangulia mbele za haki njia zao zikawe nyepesi uko waliko na walale mahali pema peponi
2026-09-20 17:23:42
1
To see more videos from user @ukerewe_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About