@simukitaa: Eliudi amaekuja kuhakikisha kama zinafanana!,, Aya ameshathibisha kama na wewe unataka kujionea utofauti njoo kitaani iPhone 18 pro na pro Max rangi zote zipo kitaani 📍Tunapatikana Sinza Mori #Simkitaa #Sanukakitaani #iPhone18 #apple #hamjaonakitubado?
Simukitaa
Region: AE
Sunday 20 September 2026 04:50:01 GMT
Music
Download
Comments
🦋Ms Äĺķĥãn̈ ❤️🫂 :
🙆♀️Bei ya kava ni sim yangu😞😞
2026-09-20 05:29:44
106
Baby hayla🦋 :
yan nip na 11 watu washafik kwny 18😂😂😂 ila maisha 😒
2026-09-20 06:48:40
22
Husna4g :
kwani mkinunua izo mpya zazamani mnaweka wap nije
2026-09-20 09:53:54
8
davisadrian177 :
Hakuna toasting bana
2026-09-20 16:39:19
0
Ester❤️ :
Sasa hyo ya orange nipe mimi bas kaka😁😂
2026-09-20 05:32:35
2
Irene Maganga :
kuna mimi kava halifiki hata 10
2026-09-22 13:55:32
2
Junior Mathew :
Hahaha tunao tumia simu zetu thaman yake ni sawa na hilo kava tujuane usione aibu ndo maisha yetu
2026-09-21 08:44:34
6
HANAVY🛍 :
zinafanana maana hata cover ya 18 pro max inaingiliana na 17 pro max
2026-09-20 07:57:51
3
Englishbody 💃 :
Psalm 23 bwana ndiye mchungaji wangu sitapungukiwa na kitu 😁
2026-09-20 06:27:31
18
Machinga__electronics :
Bei ya kava ni bei ya ViVo yangu ya lipa namba 😂😂😂😂
2026-09-20 07:07:46
1
MK 47 mkola mgabe :
M - House fanya kitu baba tuna kubali uku🔥🔥
2026-09-21 19:33:49
1
Irene kafem :
saa kav hiy Bei ni kiongez 50 napata cm yang
2026-09-20 14:11:48
1
JM COSMETICS :
halafu kuna mimi hata 1 aaaa kwani ilianzia one au nakosea yaani hata 6 sijawahi
2026-09-28 07:37:49
0
linah :
tupumzish bas na sisi weny Redmi maan sijui mnataka kutuua kwa plesh🥹
2026-09-20 18:07:56
1
Miss M :
zina fanana sana tu
2026-09-28 11:20:08
0
🥀zhaqaria⚜️ :
bora niitumie na cover ya free ili iyo laki1 na40 nimnunulie bibi yangu ki infinix nayy awe duniani😁😁😁😁😁
2026-09-27 05:33:39
0
amapianokid :
mhh kwaiyo s25 yang kava lake ni 70000 lkn iphone aioni ndani kwenye picha
2026-09-22 17:53:46
0
bhoke 🦋 :
Bei ya kava ni Simu yangu jmn😭😭😭😭
2026-09-20 04:58:17
0
toxic☠️☠️mummy :
mimi bora ninunue rangi niipake tofauti si rangi tu ama 😅😅😅
2026-09-21 06:23:13
0
Øfficial_agness🛍️🚚 :
Mhhh me ndo na xr 💔💔💔💔💔
2026-09-21 10:54:26
0
wakufoc :
Infinix akitoa toleo jpy mnishtue
2026-09-22 14:11:56
0
juniorswag :
number number
2026-09-21 06:32:05
0
DADDY LOVE❤️ :
sa za nini hizo simu
2026-09-22 05:37:35
0
afifaomar14 :
Ndio kwanzaa nina 13
2026-09-21 16:23:19
0
@dickmbago :
sasa bei ya cover ndo bei ya simu yangu
2026-09-24 08:49:46
0
To see more videos from user @simukitaa, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.