Mtu analipia mtoto ada ambayo inafika hata 30M hadi 50M kwa miaka anayosoma alafu akimaliza chuo hawezi kumpa mtoto mtaji wa 5M kazi kuipigia serikali kelele tu
2026-09-20 06:07:56
144
catherine pius :
lakini anakuwa amekuzidi kiwango flani
2026-09-20 07:40:50
34
🌸🎀mv accessories china🇨🇳 :
kwa upande wangu nmesoma kayumba kufka secondary english kwangu ilikuw tatzo acha tu mtt wangu nigaramie asome private akifka secondary hatoona kama english ni kitu kigumu kwake
2026-09-20 06:02:45
46
Baby naj❤️ :
Mie hata mseme nin mwanangu lazm asome shule za private na akimaliza hapo lazma nipambane akasome njee😂😂😂
2026-09-20 07:30:59
40
evvy64 :
wangu atasoma private no mara what😂
2026-09-20 09:51:33
27
stellaivan :
big up teacher❤️❤️❤️
2026-09-20 07:10:33
0
Nasania Daniel :
kitu nliwahi sema sitawahi fanya upuuzi wa kulipa 3M kwa mwaka kisa english😄😄
2026-09-20 06:39:12
19
NgonyaniJessie :
ukweli Private school is better you are fluently on both Swahili and English speaking and it build self confidence on standing infront of crowd
2026-09-20 18:05:05
0
LIVINUS :
WATOTO WANGU WATASOMA PRIVATE SCHOOL SITAKI USHAURI WA MTU
2026-09-20 16:20:39
7
Mwegelo@caroline :
tuliosoma English medium hii friends🤣🤣Tuunde na group zetu🤣
2026-09-20 19:02:25
0
Samwel Mtangoo :
Hapana, somesheni watoto shule nzuri kama una uwezo huo acheni hawa washauri shauri kwenye mitandao, sisi tulioko kwa ground tunauona huo utofauti
2026-09-20 07:15:14
16
Lilian Hamisi :
Halafu chuo mi niliona tunatoutiana waliosoma serikalini wanateseka kwenye presentation
2026-09-20 12:03:23
12
Cugalivinus Archard :
Hacha kujipa moyo tafuta pesa na jitume watoto wasome shule nzuri
2026-09-20 08:06:23
15
Amina Mdoe :
me nataka mtoto ajue kingereza hata akifanya kaz hotelin sawa tu
2026-09-20 12:56:41
6
Caramprint :
Unawaumiza ukisema ivyo[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-20 05:13:53
6
rosemitiga :
we mkaka nakupenda. you talk a lot of sense to people who don't reason beyond the horizon.
2026-09-20 06:01:36
4
Amina wa Ayman :
Tangia nifike chuo siku ya presentation nakuwa na pressure na machozi juu unaulizwa swali unajifanya kiziwi kwa mwanangu aibu hii sitaki mkute 😅
2026-09-20 07:47:53
13
Madam GLM :
big point
2026-09-20 05:32:18
2
Innocent :
Umeongea kitu cha msingi kabisa,
2026-09-20 05:44:36
7
Bernadetha Willam Rushaba :
Haya wakwangu nimesomesha private tuwacheni tuteseke nao eeeeeeeee mbona povu linawatoka Sasa shida nini
2026-09-20 11:57:35
0
Miss Shuuh 💅🏻💦🧚 :
mimi nae nitatoa iyo hela ila tu nataka abonge kingereza sitaki ashindwe kujieleza
2026-09-20 15:08:06
4
👑 :
hakuna familia inayo somesha mtoto kwa 6m per yr afu aje aliye ajira ,, mfano nimesoma. MuCE na cuhas hapo pote sjawahi kutana na mwanafunzi aliye Soma faza
2026-09-20 09:41:00
4
luluadriel022 :
Point
2026-09-20 10:00:02
1
Fetty :
Mwanangu amesoma dimond na amefaulu intetview shule ya kishua akwaacha waliotoka fedha hapo wanashangaaa
2026-09-20 10:46:37
1
aminamtoromtoro :
wengi tulifeli kutokana na mfumo wa msingi kiswahili secondary kiingereza.kama mtu ana uwezo acha atimize akitakacho kwa mtoto wake
2026-09-20 10:04:33
0
To see more videos from user @mwl.magodajr, please go to the Tikwm
homepage.