@saa24_digital: Mkazi wa Kijiji cha Bukombe Wilaya ya Bukombe mkoani Geita Power Mabula amejitokeza katika mkutano wa Mkuu wa Mkoa wa Geita Alexander Mnyeti uliofanyika kijijini hapo na kuomba kuingizwa katika kamati za usalama ili aweze kushiriki katika kuzuia athari za mafuriko na radi, kufuatia tahadhari ya Serikali kuhusu uwepo wa mvua kubwa za EI-Niño mwaka huu. #saa24
Saa 24
Region: TZ
Sunday 20 September 2026 05:25:16 GMT
Music
Download
Comments
mr chance :
nan anabisha[Tears of joy]
2026-09-20 12:47:15
0
Lazaro salamba 770 :
Are ripet again
2026-09-20 13:55:43
0
Seisal :
Faamasiara na bilioni 700, ata mimi niwekeni kitengo cha radi
2026-09-20 11:59:29
2
George Friday & Amanda👒 :
alianza vizuri, Na Walimzingatia Sana Awali( Kwny "ripiti again,mosheni Na Kifaransa Ndo alichamba kwingi maskin🙆"
2026-09-20 12:01:36
1
Mariam Kakwaya :
mwendo wenyewe unasemaje😂😂
2026-09-20 14:10:19
0
GITTO_ GLASS WORKS :
Kwan hayupo wakutulipia deni letu 😂😂💔
2026-09-20 13:38:29
0
Meleji lesikari mdogo :
kwa silaha gani
2026-09-20 12:40:26
0
Papaa Masai :
Yuko Sirius kabisa apewe
2026-09-20 11:54:19
0
Minister of enjoyment 😷 :
Mnabisha au 😂
2026-09-20 11:58:19
0
seline :
KILA MTU AOMBE AWEZAVYO..KIMILA,KIDINI,ILIMRADI TUNAMUOMBA MUNGU BILA KUMGUSA MTU
2026-09-20 10:28:50
0
zakharan_likandapahi7 :
Mtu fudenge nacomment kila video, nimefika na uku. Mmeniona? ...... ...... A boy from 🇹🇿
2026-09-20 11:11:53
1
Dada :
mwamba huyooooooo,msitumie pesa nyingi hata hajataja alipwe shingapi
2026-09-20 08:52:05
1
The big thinker :
hamis umeuwa xan baba[Fire][Fire][Fire][Fire][Tears of joy]
2026-09-20 10:47:45
0
killa Mbongo :
chuma iko
2026-09-20 10:57:59
0
Dick Danka :
Hii ni mimba ya nchi😲
2026-09-20 13:31:55
0
user24024190945116 :
Huyu yuko vizuri,RC anatakiwa amtumie ili kuepuka maafa ya mafuriko.
2026-09-20 05:47:41
0
kendrick :
na kasema kwa English naludia tena sasa bisha uone😁😁😁😁
2026-09-20 12:59:40
1
Suba Brown :
Huyu ndio sie kweli😂😂
2026-09-20 14:09:17
1
To see more videos from user @saa24_digital, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.