jaman kumezidi kuchangamka hayo ndy mapenzi sas lazima mpishane huy anatka hv mwengne atak😂😂😂ila kellan kafany vzr kuacha kumwambia ukweli licha ya kuvurugwa na maneno🥰🥰
2026-09-20 07:28:35
15
❤️baby mochi 🐣 🇰🇷 :
amara ndo mimi kabsaa Kwa baby wangu mwanachuo😂😂❤️🥰 napenda kudeka zaid yake
2026-09-20 06:21:50
12
Wema happy :
Wako. Wapenzi kama Hawa kwelii.
2026-09-20 12:19:14
6
maiya :
sinabud kukufollow
2026-10-24 19:46:40
0
Miss merry❤️ :
nimekuwa wa kwanza
2026-09-20 05:47:24
7
regnad💯 :
kwan wa kwanza kucoment Huwa unajuajeee aiseeee😅😅😅
2026-09-20 19:16:05
0
RAYAN🥰 :
hii ndio maana ya kupenda sana
2026-09-20 18:42:47
2
Ayshaa@💓💞 :
pameanza kuchangamkaa👌😂😂
2026-09-20 18:25:04
3
Triphonia Kiwaly :
mwanaume km wew kellan unapatikan wapi
2026-09-20 18:42:55
2
Ney🍎🔐 :
Nimetoka mjin you tube nawambia tuu nenden mkajionee mwendelezo msisahau ku like 😂😂😂
2026-09-20 11:25:24
5
kaa msuli :
huyu kellan ako wapi namutaka na nko serious
2026-09-21 16:00:59
2
Yvonne Kunambi :
muendelezo pls YouTube
2026-09-21 06:37:03
1
Suleiman Maalim :
nxt
2026-09-20 19:01:53
1
Official B :
Next please
2026-09-20 18:33:53
1
Samia saimon :
wacha we mwanaume anaelewa nini anafanya
2026-09-21 06:18:34
1
Ise philemo :
❤️❤️
2026-09-21 06:23:27
2
D money 💰❤️ :
ila kellan ni mzur wa sura had maneno nikiimagination had na mwaga 🤣🤣 wakubwa wameelewa
2026-09-21 13:39:12
3
❤️baby mochi 🐣 🇰🇷 :
mtu bad haijamkoloa vizuri😂😂,, kellan jaman😠🤦🙌 ameniuz sana
2026-09-20 06:23:36
1
rose cute 🥰🥰 :
@mtu kama kellan napata wap jmn🥰😂
2026-09-20 15:05:48
3
Iron lady 💪 :
Kellan ni boy wa kweli kunyamaza wakat shida kwa muda huku akijizua hasira zake kwa mke ambae amekuwa akitoa maneno makali juu yake
2026-09-20 18:17:11
3
zoey20203 :
woyoooo mapenzi sindo haya lazima mgombane mara Moja Moja bwana siyo kila siku furaha tu weee Sasa pamenoga bwana
2026-09-21 15:38:38
1
Anna henrick :
hici hii stori kwa tv naipata chanel gani
2026-09-20 16:14:08
1
ummy sophie :
Amara leo umetuangusha 😢😢majibu gani ayo kwa Kellan we2 wafaaa vibao kupendwa vzr sometimes kwachaaanganya akili
2026-09-20 20:50:29
1
To see more videos from user @the.swahili.notepad, please go to the Tikwm
homepage.