@simukitaa: WONDERS SHALL NEVER END Ukiwa una hela kiasi gani utaweza kuinunua peni hii ya gharama!?🙌😁 Lakini pia Kama unataka Chochote Mwanakitaa ambacho apple walitambulisha usisite kufanya Pre Order Na sisi ili Upate bidhaa Mapema lakini Pia original kwa bei Nafuu.. Nawakumbusha tu hapa ndo mahali pekee ambapo utajipatia simu original kabisa tena kwa bei nafuu.. usisahau kutufollow na kuturn on post notifications ili uwe wa kwanza kuona Post Zetu.. Call/Whatsapp Tunapatikana Sinza Mori #hajaonakitubado? #Simkitaa #Sanukakitaani #iPhone18 #Apple

Simukitaa
Simukitaa
Open In TikTok:
Region: AE
Sunday 20 September 2026 05:49:15 GMT
17878
1440
41
66

Music

Download

Comments

l.a.m_delight17
I.a.m_delight17 :
This pen, for writing where?? 😂😂
2026-09-20 05:55:42
10
drexor03
༺═─𝚂𝙲𝙾𝚁𝙿𝙸𝙾𝙽 ─═༻ :
Patrick Philip
2026-09-21 12:53:31
0
princepantaleo
PRINCE :
na yenyewe sasa yoooooo [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-20 06:31:19
0
spidergaming360
DL乡ŠPIĎẼŘ :
What is that calculator bro 🙏🙏
2026-09-20 06:18:02
0
mrs.china53
MR.CHINA$$ :
ina wifi
2026-09-20 10:21:13
3
clever5967
Clever :
Jacob and co
2026-09-20 07:51:26
0
evaristy_tz
evaristy_tz :
Ambao hatujawai kununua pen ya 5000
2026-09-20 07:44:45
2
massoud.nassor4
Massoud Nassor :
Ainajiandika yenyewe😂
2026-09-20 07:14:03
0
joyce.adenis.poni
Osbon yce :
Ondoka kabla ujadondosha vitu😁
2026-09-20 08:47:42
2
sauday96
🎀💍Mrs Yassin💍🎀 :
🤣🤣🤣 leo umejichanganya
2026-09-21 03:46:18
0
mb.auto.spare
MB AUTO SPARE PARTS :
dunia ina watu wake
2026-09-20 07:05:09
2
mayrah_.11
Mayrah_.28🖇️ :
na nilizoiba na nilizogaiwa nilizonunuliwa na wazazi tangu naanza shulee 🤣🤣pia sijafikaa 🤣🤣PENII 🙌
2026-09-20 16:40:41
1
cutieswadixdesign
cutieswadixdesign :
Tunaona kwenye short drama😂kumbe it’s really
2026-09-20 07:56:06
2
ladygg18
Lady G 18 :
Mimi ya bei ghali kabisa 10 sjawah kuzidi hap
2026-09-20 10:44:39
2
mrdee64
Mr Dee :
gudu baaiii
2026-09-20 17:50:34
0
samweli.kakigwa
samweli Kakigwa :
ukizunguka mahina kisesa na usagala au ilalila unapata kiwanjaa kabsa afu ninnue peni naandikia nn sasa
2026-09-21 05:22:41
0
beatus701
Beatus :
yaani pen inaizidi mpaka cm bei😁
2026-09-20 08:46:54
1
official6374
My name💕 :
Wino hauishi au😳😂
2026-09-20 18:10:59
0
darafloofficiel243
daraflo officiel :
Mimi Niko Congo 🇨🇩 la kini n’a au ya ku uza iPhone 17 pro max alafu Nina rafiki ya iko dar ina wezekana wala
2026-09-20 18:44:19
0
almilacollection4
Almila :
Sithubutu
2026-09-20 22:11:27
0
officialkigoladavis
Davis Kigola :
Peni Ya Bei Mbaya Nliwahi Kutumia ni 500/=Tsh
2026-09-20 10:59:39
2
jayde983
🥰🥰 miss flower😻🙊 :
hii Peni inaweza futa dhambi kipenz 🥰😂😂😂
2026-09-20 15:35:17
1
denriq17
DenriQ :
for writing where??...😂😂
2026-09-20 06:42:59
0
issamjonjo
issamjonjo :
mwanakitaa ni wap huku
2026-09-20 08:56:17
1
nadir_____95
N95 :
well come to rich family. na kunawengini kununu i phone 18 hawezi anaona beii sawa . NDIO MAISHA HATUFANANI [Innocent]
2026-09-20 14:18:37
0
To see more videos from user @simukitaa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About