Dua zangu zifike kwa pacome apone tunamuhitaji 👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼
2026-09-20 17:51:03
7
ney 🦋♥️ :
nilikuw kwenye penz jipya na mubba wangu tunaangalia mpira si yanga akapata bao nilijikuta nimekumbatia jamaa flan mwana yanga mwenzangu kwa furaha jmni niliachwa mezan ety siwez mahusiano ya hivi mimi🤣🤣🤣🤣 kisa yye ni simba
2026-09-20 20:22:52
5
Aisha Msangi :
one mistake one gol[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Embarrassed]
2026-09-20 13:46:44
1
Mimiiy Moh 💕 :
Asante mungu Mzize Amepona🙏dua zangu zote kwa pacome Apone haraka tunamuhitaji mnoo🥺🤲🙌
2026-09-22 18:33:32
5
Kaijage mode :
hakuna daby niliyo fulahia kama hii kwangu mimi
2026-09-22 16:17:38
1
Annastazia Vedastus :
ww umenikumbusha dah nilifurah mpaka nikazimia 😂😂
2026-09-20 17:11:59
2
uJessica Mwathiser870998811450 :
hii inanifany nifunge na kusal kumuombea Pacome apone harak