Mimi siendi kwenye kamati😂😂😂wakiniita nawaambia tuchat inbox naktumia picha na bei cake zakuonja nawapa maharus kwajil yakuchagua flavour na ni baad ya advance🙌🏻🙌🏻stak stress
2026-09-20 16:46:52
17
Belle_maison_cakes :
Mi niliwah kwenda kwenye kikao cha kamati tukawa bakers 6, tangia siku hyo, Kama unataka Keki nipike kwenye harusi yako just call me Lakn Siwez kuja kwenye kikao 😅😅
2026-09-20 11:12:24
20
🍰💋❤ :
yalinikuta mm hayo 😂😂😂
2026-10-05 12:32:35
0
Triple S💦 :
nilishawah ambiwa na rafk angu nitengeneze cake kwa ajil ya kitchen party yake siku ya mwisho naambiwa cake usitengeneze wakat tayar nmetenegeneza walikula watt wangu kumbe alimwambia mtu mwingne nyieeeeeeeeeeeeee
2026-09-20 09:18:50
24
RenePrecious :
uliondok na keki yako au uliiacha😂
2026-09-20 11:04:25
12
Jay’s cake and bites :
🤣🤣🤣 ishanikuta mtu anakwambia mbichi ajaiva ila keki iliisha yote kwenye graduu!! Ni mmoja tu ndio alisema ivyo
2026-09-20 11:46:20
8
mazrui girl :
na mm nitakuja kuhadithia historia yangu iliyo niumiza mpaka imenifanya ni zd kupambana
2026-09-26 17:09:24
1
lemamadina :
Watu wanaroho chafu sana😏 alikuonea wivu
2026-09-20 16:57:46
3
FARHAS COLLECTION 🛍️ :
Saw naomba iv vi chenga 😅
2026-09-20 09:19:20
7
Dee_treats_cakes :
Cake inchi ngapi hyo? 👌👌🥰
2026-10-01 04:13:36
0
tembage2 :
Asnte dada, umenifundisha kitu🥰🥰
2026-09-22 07:29:42
1
Anadorice K :
sufuria inchi ngapi dear?
2026-09-21 20:15:41
0
Norbetha Kapinga :
Ahsante sana dadangu kwa darasa la keki ya kitabu kwa tin za raundi
2026-09-21 12:03:42
1
Annabaker_tz :
Jamani mbona watu ni wachawi😏 mm najibu sijali kama ni mteja an univunje moyo hivoo😂😂
2026-09-20 17:03:00
0
M@ry 🌻🌻🌻 :
😂😂Acha kutupa izo unazo kata nakuja kula kipenz 😌😊
2026-09-21 12:04:12
0
Mimiiy Moh 💕 :
hasira zangu haziwezi kuvumilia iyo hali kipenz nabeba keki yng na neno la kuondokea nampa😂😂😂💔
2026-09-21 22:11:27
2
kidallah :
nahitaji ila na chenga chenga zangu unifungie🤣🤣
2026-09-25 07:36:06
1
Lesty💫🎂🧁 :
Me nawaambiaga cake ya kuonja nauza simpi mtu cake bure😂😂😂 aweeeeeeh
2026-09-24 04:58:30
2
BaltaJr :
jamani nakuja Arusha nije nijifunze sh ngapi
2026-09-21 07:29:08
1
ZYUU_DELICIOUS_CAKE_AND_BITES :
mimi nilitoa mchango wa kamati laki 1 na walisema cake ya laki 7 nikasema hakuna neno, nilivyotoa mchango tu nikapewa oda ya laki na 70😂🥹🥹
2026-09-21 13:08:45
3
Aika 🥰🥰 :
km hii bei gan
2026-09-21 15:49:28
0
gift_christopher :
keki zako tamu achana na watu wana hila
2026-09-22 23:28:28
0
sabrah :
naomba cheng bhs😂😂
2026-09-20 13:41:52
1
To see more videos from user @icah_temu, please go to the Tikwm
homepage.