mim nilicho gundua huy mam B mapenz ya namtesa sna
2026-09-21 14:37:55
45
NAPHISA🤎🥥 :
na uyo mke mwenzio anakumizaaa sanaaa
2026-09-21 09:54:24
10
Hawa :
hv kuna watu wanawaza tu mume ndoa duh tumetofautiana mitazamo
2026-09-20 15:56:35
23
Aaliyah smart :
🤣🤣🤣 Mke kubwa Piga keleleeee
2026-09-20 07:33:54
35
Fatmus :
wake wakubwa woyoooo🥰🥰🥰
2026-09-20 15:30:58
13
RAISI WA MBANDE :
sote wa mume mmoja sote tuna haki sawa
2026-09-21 12:12:54
9
Pili Iddi :
Nakupendea hapo tu,kwakuwaasuuuza...😂😂😂
2026-09-21 21:31:18
1
thabit twaha :
mke n wapil wakwanza nijarbio la ndoa
2026-09-27 11:47:20
6
user ummu Nass-hash :
mume wako au wetu
2026-09-24 15:06:56
0
farhat :
we nae
2026-09-20 06:59:28
2
Mamu hansy :
anipe hela ya maana mambo ya cheo hayanihusu
2026-09-23 21:03:09
0
Fatma Said :
Mume sio your brother jamani akiowa anaweza kukuwacha wewe akawa na mke mwengine... Mata nyingi mke wa kwanza hua na shida nyingi. Hua yule mume hana love kwa mke wa kwanza. Kila mara mke wa pili hupendwa sana.. Kuliko wa kwanza. Hio ji kawaida hio ji majina tuu
2026-09-21 15:24:29
7
feynar mursary :
mm ni mke mkubwa lakin mama B unajielezea sana mbn 😂😂
2026-09-22 17:40:22
0
Mamy Hussein Ahmedy :
hakuna tofauti wote wake Kila moja acheze part yake raisi kaolewa matara www nani?
2026-09-21 05:05:19
15
mira :
kweli kabisa , tuwi la kwanza tu
2026-09-20 15:04:12
6
momy d💯❤💥 :
leo wa kwanza mama b unajua kunipa raha mwenziooooo waambie hao
2026-09-20 07:08:13
7
Jasmin Ryomekyo :
kweli mama b penda wewe waambie wajue
2026-09-24 10:37:25
1
Golden_Heart 💛💛 :
bi mkubwa napenda hiyo lipstick pambe 🤣🤣🤣🤣
2026-09-22 16:29:48
1
user61542201187324 :
mm b mbona ulikua ukivaa stara saiz umekuaje allh akubaliki ulud kuvaa stara jaman
2026-09-21 20:45:55
2
Rehema Bushiri :
chajab nin
2026-09-20 08:32:55
4
fahimabintnassor :
bimkubwa kazi yako kubwa ni kujipa moyo
2026-09-22 10:01:04
1
Mrs Engineer ❤️ :
stress zinatakiwa ziwe kwenye pesa tu hayo ya mume na mapenzi yabakie kwako wewe mama b
2026-09-23 03:51:01
1
Asmalii Collection💃🏻 :
Ndio yani wewe ni wa mwanzo anaongeza wa pili watatu nawanne
2026-09-21 11:49:28
1
To see more videos from user @mamab_tz, please go to the Tikwm
homepage.