@kapingo_tv: #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya #foryoupage #trending #viral

Kapingo_TV
Kapingo_TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 20 September 2026 07:05:21 GMT
38072
840
70
149

Music

Download

Comments

mahendafaridy679
DUMBIA :
mnaokubali jamaa Yuko live mikono juu
2026-09-20 09:37:47
27
ginimbi.tz
GinimbitzMkatoliki :
Hii ni kabla hatujashughulikiana wenyewe Kwa wenyewe 29oct au ni baada naomba kueleweshwa🤣
2026-09-20 12:39:50
5
festofedrick218
Festo Fedrick :
2026-09-20 11:32:41
4
dianna.nsenga
Dream land ✨ :
kumekucha
2026-09-20 11:21:54
2
97zh67
Nchambi :
bora ata maana nilikuwa na presha ya el ninoo
2026-09-20 14:02:25
2
jennifermoses6928
jennifermoses6928 :
bahati mbaya serikali haiamini katika ushirikina lakn haya mambo yapo.
2026-09-20 11:59:42
2
kenedy_980
kenedymichael572 :
ukumungu ndio derev Sheria kujiongeza
2026-09-20 10:38:01
4
ggg69017
Neema za Mungu :
Mungu anawatu wengi
2026-09-20 10:45:06
2
acraymagembe
taymer :
asikilizwe tafadhari
2026-09-20 11:37:05
2
tzamreys
Opeck AI :
binadamu yupo flexble ana uwezo mkubwa wew tu haujamua kuwa vile unavyofikia uhakika kabisa
2026-09-20 10:30:34
7
msemakweli50
HI WILL :
ukisikia Mungu ana watu wengi hii ndo tafsiri
2026-09-20 13:01:29
2
user2492600081118
martin lisena poda :
hii ndio Tanzania aijawai kuwa nyuma ndy maan laia wake wapo mwaka wa mbele
2026-09-20 11:16:42
4
aryborn
user4921157175675 :
Hawa watu wapo wala siyo story
2026-09-20 11:12:05
3
bonny.msongole7
Bonny Msongole :
naomba namba yake
2026-09-20 13:19:15
1
noreenphat
reen 06 :
mpeni zile bilioni mlotenga kwa ajir ya radi sasa. saf sana
2026-09-20 12:45:38
1
cheche.boy
Hm@CheChe Boy :
wap apo sumbawanga ama 🤣🤣🤣🤣
2026-09-20 10:06:09
2
waltermoses552
Walter💧 :
nchi ya ahadi
2026-09-20 11:24:21
2
emmanuel_isuto
Emmanuel Isuto :
izo pesa zilizotengwa apewe yy maana hakutatokea na hicho wanachofikiri.
2026-09-20 11:08:29
3
silvesterdeu669
mr yebo :
mimi ninauwezo wa kuangamiza dunia mheshimiwa tushirikishane
2026-09-20 09:23:06
2
julianamnale
I HAVE FOUND A FRIEND IN JEUS :
kwa neno hili fupi waweza ukariacha kumbe ni njema.
2026-09-20 17:46:29
0
moze988
chandika mtoka :
amin usiamin na huyu n mwananchi anaye ongozwa na mama samia
2026-09-21 06:21:15
0
hashim.karobo
hashim karobo :
Huyu jamaa leo mchana Nimemuona anafanyiwa interview Sikujua ni mtu qa wapi Lakini anaongea vitu kama Mwanaharakati Sema nilikua bize Ukimuona ni kama hamnazo lakini alikua anaongea madini sana
2026-09-21 17:37:32
0
yusufmalandukali7
Malandukali :
asipuuzwe!
2026-09-20 19:29:32
0
kelvinombela
kevoo :
kwaiyo bajeti na mm naweza
2026-09-20 17:47:21
0
bam80533
BAM :
Whataaplayaaaaaa
2026-09-20 10:34:49
2
To see more videos from user @kapingo_tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About