Aminaaa sanaa Ambao tumeimba kwa kupitia beat Bwana Yesu Asifiwe
2026-09-25 06:36:21
58
Aliceemmy :
wasabato tuje hapa 🥰
Nyimbo za kristo No.117
2026-09-25 12:20:23
27
♏AROY 8 MALIMIX 🦂🖤 :
wamwendea YESU kwa kusafiwaaa,
nakuoshwa kwa dam ya kondoo
ziwesafi nguonyeupeemnoo
zimeoshwa kwa dam ya kondoo.
kuoshwaaaa
kwa damuuuuu........... huuuuuuuu....
wa moyoni kabisa huu🥰🥰
2026-09-21 16:29:56
57
"FBI✓~OFFICER👨🏿✈️** :
Jaman naomba mkiona mtu anauza kitanda na godoro, tv,jiko la ges na kafriji kadogokadogo.. msinunue tafadhari ni mwenye nyumba anauza vitu vyangu. Tuwe na umoja jaman🙆
2026-09-26 07:28:05
10
EjonaPro Apple :
Tulioludia zaidi ya Mara mbili tupo wapi 😳?
2026-09-21 19:25:48
35
magrethherin :
ni ya kkkt no 166🥰
2026-09-23 08:24:46
23
cesilia ford :
2026-09-25 10:32:50
15
enea :
wamwendea yesu
2026-09-21 06:32:07
22
PR wa Jaco :
huyu ni Mimi kabisa kujichezea miziki ya jirani zangu🤣
2026-09-21 17:04:15
18
thedon boys :
namwendea yesu.iyii tenzi naipenda sana
2026-09-23 05:00:14
12
Baguma🫶 :
jirani naomba ongeza sauti weka na benzi
2026-09-21 14:17:47
10
Professor Mbunge :
Nyimbo za tenzi zina uwepo wa Mungu Automatic. na tuziimbe kama zilivyo. tusiongeze ujuzi wowote ule, Amen.
2026-09-25 19:09:47
5
Sniper06 :
kuoshwa kwa damu ya yesu
2026-09-22 08:26:49
9
golden... 😘 :
jmn kipenz ninae nanina tamba nae 🤣🤣🤣🙌
2026-09-20 09:57:56
5
salxy🌺 :
Naomba niwe mgeni wenu ata nikiwa kwako inatosha kupata hilo vibe