Kuna mda najuta vitu vilivyopita kwann nisingesema ivi au ningesema ivi ingekuwa sawah zaidi ila unakuta ata mda ule hakikuharibika kitu ila naona km nipo mbele ya mda cjuwii....me ni overthinker bila kuficha ila hii hali naichoka..🙌🥹😍
2026-09-20 08:58:00
12
💰Archermogul💸💲 :
😏😏 really you got me
2026-09-21 22:14:54
1
𝐍𝐚𝐬𝐞𝐞𝐛🌀 :
can you help me to get out from this situation may be?😢😢
2026-09-21 19:22:12
0
zechartists97 :
hakuna kitu kinaniboaa nitumie text kwa mtu asinijibu kwa wakatii hua inanikeraa nafikia hatuaa navunjaa laini ili nsiwe kero kwa mtuu au nimsahau tu nikiona piaa Nina namba nyingii kwenye cmu yangu hazioneshii upendo wowote kwangu nafutaaa zotee Ila nachopendaa mziki sanaaa Ila so mtu wa viwanjaa Ila ni wakujitengaa sana
2026-09-24 04:08:22
1
salum1234 :
very clear
2026-09-23 11:18:31
0
Sultan Creed :
mmh!! unagusa maisha yangu aisee nami ni muathrika wa hzo hal
2026-09-20 08:23:36
2
𝆺𝅥⃝🥀⃪⃪꯭ᷟ⃜𖥫꯭꯭꯭𝆺꯭꯭𝅥𝐌꯭𝐏꯭𝆺꯭𝅥🎭 :
kwann 😅😅 mmetuamulia jamn😁 thanks mnasaidia wake zetu watufahamu maana wanateseka na kesi za mahakama ya kichwani ,ukijichangnya ushahidi wako unakuwa nothing 😅😅😅
2026-09-21 16:50:13
1
RISK to REWARD :
mstari wa mwisho una nguvu sana, (Usiamini vinginevyo) mwandishi wa makala hii uko vizuri sana
2026-09-21 09:53:10
2
Pina❤ :
na overthink mpaka nahisi Kwa Sasa nahitaji msaada 😭
2026-09-20 15:48:00
2
🌸miss nylrah🦋🌴 :
yani ni mm huyu kabisa alafu sasa kwa mfano unamsaidia mtu kwa moyo mmoja ila anavokuja kukulipa ni different na ulivotarajia 🥺🥺🥺🤌
2026-09-20 10:03:53
2
ashreez_msusi_moro1 :
kila mtu ovethink humu🤣🤣🤣
2026-09-21 22:26:49
0
Lopen :
It’s me kabisaaa
2026-09-21 21:34:53
0
cleverjoshua6 :
ivii je nikikuta na overthinker means dating zao zinakuwa je
mnisaidie wakuu
2026-09-21 19:41:26
0
MALCOM :
nilikua cjui km mm overthinking nilipo Anza kushilik mtandao ya kijamii ndo najijua kwel kbx!
2026-09-20 08:43:51
0
sarah🌹😜👌 :
huyo ni Mimi yan mpaka mda mwengine nasema basi imetosha sasa nafikiria mpk nachoka akili🥺
2026-09-20 07:34:19
1
Jo :
umepita namm hujaacha hata kimoja
2026-09-21 14:17:43
0
yuu classic :
NYIMBO INAITWAJE JAMANI 🤣🤣
2026-09-21 11:44:55
1
Cherryjddy :
Mbona kama unaniongelea mimi ivi🤔🤔😂😂
2026-09-21 18:05:11
0
~last girl🤎 :
feb✌️
2026-09-20 11:08:21
1
Hajra Hassan :
mbn sioni
2026-09-21 17:43:24
0
young marwa🇹🇿✓ :
nilikuwaga ivyo ila sas nna shukuru MUNGU nna uwezo wa kujikontro hata kama nikiosewa sema tu nimebaki na ukimya ambao pia siutak
2026-09-25 11:18:12
0
To see more videos from user @fikrachanya_tz, please go to the Tikwm
homepage.