@matuta_alkebulan: CHIFU CHIONDA ATOA WOSIA SIKU AKIFA AZIKWAJE#tanzaniantiktok🇹🇿 #CONGO #kenyantiktok🇰🇪 #amerika🇺🇸 #viraltiktok

matuta alkebulan
matuta alkebulan
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 20 September 2026 07:40:33 GMT
41456
1806
41
21

Music

Download

Comments

sela.com20
the great sela :
African logo
2026-09-20 21:44:35
0
alkebula1
Theee Alkebulan :
mm pia nataka iwe hivo lkn familia wote wafia dini
2026-09-21 11:00:17
0
njaa.chanzo.ni.tam
njaa chanzo ni tamaa :
BORA NIENDELEE KUMFUATA MTUME WANGU MOHAMMAD SLW
2026-09-20 11:23:41
14
poorockeffeler
Poolucky :
02:47 AM 29 September 2026. My Eyes.
2026-09-28 23:47:46
0
cleopatradeogratias1
CLEOPATRA NDEJEMBI :
Tunawezaje kujiunga huku?🥰🥰🥰
2026-10-13 04:05:08
0
bwoy245
ABDI 23 ✌️ :
ayo mazishi ndo yapoje aayo et
2026-09-20 20:23:04
0
jemill_jm
JEMILL JM :
ASANTE chawa
2026-09-20 17:52:33
1
anjiruathamakiclan
MunjiruMaasaiLuoBlackSheepKi👑 :
interesting Mwili inakuwa direct kwa mchanga ningependa kuelewa hili Zaidi
2026-09-21 20:25:04
0
grayson.marigatiktok.com
Grayson Mariga :
Ahsante Mkuu Chionda Tuko pamoja nje ya 📦
2026-09-21 16:25:30
1
ndeanka52
Ndeanka :
naomba muongozo jinsi ya kujiunga na hii organization niweze kuwa mfuasi, kujifunza mawazo mapya na kuchangia mawazo yangu ya kimizimu
2026-09-20 17:23:19
1
ngosiipetania
Mwaipetania Mwakalukwa Mwangos :
jamani mbona kama mimi. naomba kujua najiungaje na taasisi ya watu weusi. tafadhali
2026-09-25 06:50:13
0
user7655531499758
ashlii :
nakwel zaman mabbi zetu wamezikwa namikeka hakukua namajeneza
2026-09-22 15:08:17
0
alairge0
ALAIRGE09 :
hotep mwana wa juwa
2026-09-20 08:10:11
2
obakwaya0
mkubwa3@ :
sema wazee wangu mmeshachelewa
2026-10-12 19:16:42
0
nicksonjulius34gma
[email protected] :
safi sana sisi tupo pamoja 💪💪💪
2026-09-20 10:10:36
2
user744870883
vicky :
ok
2026-09-20 08:37:01
1
big.mazabahu
Big Show +24381183091 :
takuja niko kongo lubumbashi
2026-09-21 14:21:40
0
alkebula1
Theee Alkebulan :
mwanisaidia vp
2026-09-21 11:00:34
0
salim_na_.narveen
salim_Na_ Narveen :
Sasa km akitangulia kuani? Au kuani mkuu ataishi milele?
2026-10-24 10:27:02
0
user70433597
Lumumba muhindo :
Kweli babu nakuamini
2026-09-20 13:29:03
0
josephatmwasamwen
Josephat Mwasamwene :
hata Mimi naongea na ndugu zangu Kila sku kuwa sitaki kuzikwa na jeneza Wala watumishi wa dini.lakin hawanielew sijui itakuaje had naogopa.ila stakubali maana ukweli wote nishaujua.kimaisha Sina tu pakuanzia ila ni muafrica halisi kabsa na si mtumwa wa dini.hebu Fanya jambo mzee wangu matuta.
2026-10-23 18:30:55
0
kamugishachris0
Kariisa21210000 :
safi sana
2026-09-20 14:50:48
0
pascalduyi
chief zengo sayida :
amen Ra chief chionda. ujumbeumefika
2026-09-20 10:06:20
2
stibatheboy
stibanation_26 :
Bange za morogoro milimani
2026-09-20 11:19:03
2
user6126283904861
Frank Ngowi :
Sahihi sana Chief Chionda wa Alkebulan. Hatutaki Padre wala Shehe wala Mchungaji aje na kitabu cha mkoloni kusema wanisaheme dhambi ambazo hawajawahi kunipa kisha anaitisha sadaka na kuondoka nazo. Kwanza hata beleshi hawashikagi😅
2026-09-20 10:23:34
0
To see more videos from user @matuta_alkebulan, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About