@healthyfity1: JE uko tayari kurekebisha mfumo wako mzima wa chakula??Unataka kurekebisha mfumo wako wa tumbo (acid reflux) Na koo??. Basi ni lazima kurejesha afya ya mfumo mzima wa mmeng'enyo wa chakula yaani kwa 1.kuweka sawa msawazo wa acid tumboni 2.kurekebisha valve inayotenganisha tumbo Na koo 3.kutibu michubuko na vidonda tumboni na kooni. 4.kusafisha mfumo mzima kutoka kooni adi njia za choo. 5.kuongeza msawazo wa bacteria wazuri tumboni JE uko tayari kurekebisha mfumo wako mzima wa chakula?? #acidreflux #digestivehealthclinic #SoreThroatRelief

HEALTHY FITCLINIC  DR Geaz
HEALTHY FITCLINIC DR Geaz
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 20 September 2026 07:53:45 GMT
266
8
0
1

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @healthyfity1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About