kuna Padre anaitwa ndakidemi asee ni mtu wa maono huyo padre hatari amenyooka kila parokia anayokaa
2026-09-20 13:44:17
0
G(Mchuku) :
ila wananchi wake wa kibosho awajatokea kumpenda kabisa katika wabunge wa ovyo kuwai kutokea moshi vjijini huyu ni mmoja wao akufanya lolote kabisa huyu mzee na watu walimpenda sana
2026-09-20 10:25:08
1
FungoGB :
Namkumbuka huyu prof alikuwa boss wangu NELSON MANDELA
2026-09-20 09:23:17
4
franklingambo520 :
next
2026-09-20 17:20:14
1
mr :
sikweli
2026-09-20 14:32:56
0
user1254451995634 :
Ila, kwa nafasi ya Ubunge, alifeli kabisa ku-deliver! Kati ya Wabunge walioshindwa Moshi Vijijini, ni huyu! Hakuna alichofanya kwa miaka 5!😂😂
2026-09-20 18:08:49
0
shokia_shopping_center :
Huyu ni mtu mwema sana amesaidia wengi...Mungu azidi kumtumza na kumbariki
2026-09-28 20:10:19
0
OMBENI MOBILE SHOP MOROGORO :
Tanguliza kuSema kwa Uwezo wa Mungu alafu endelea kuongea
2026-09-22 06:35:03
0
janviermungwa :
merci beaucoup
2026-09-20 08:56:44
1
MANGI :
kweli baba nakubali iyo
2026-09-20 11:05:20
0
Dhia muhammad :
💛💛💛👍👍👍
2026-09-20 13:38:12
0
To see more videos from user @madiniplus_, please go to the Tikwm
homepage.