@nurse__tz: Hormonal imbalance…🤰🏽 #fyppppppppppppppppppppppp #pregnancyjourney #safedelivery #videotrending #nesimkunga👩🏻‍⚕️🤍

nurse__tz👩🏼‍⚕️
nurse__tz👩🏼‍⚕️
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 20 September 2026 08:08:11 GMT
35510
1209
56
19

Music

Download

Comments

mary.wa36
Mary wa 🔫 :
Nimekucheki dm
2026-09-20 08:17:56
1
roycekafuba
ROY🦋 :
picha linaanza nikipimq kipimo kikaonyesha mistari 2 nitazimia siku nzima maan nimechoka nimekata tamaa madawa nimekunywa mengi so ya hospital wala kienyej mala pid nimechoka mpka najiuliza wye wenye watot hawajawai kupata ute ute mweupe yaan nashindwa kueleza ila nakuomba nimchoka
2026-09-20 12:22:00
1
aminamusajee
Ms Minahy🫂❤️ :
Mimi hormonal imbalance na sishiki ujauzito 🙏 nisaidie
2026-09-20 18:01:41
1
irenechriss499
irene :
naomb unisaidie mbn mahisi kichechf mate yanaja mdomn
2026-09-21 15:18:00
0
kidoa.03
Kidoa :
Naomba dawa ya kuzibua mirija doc plz 🙏
2026-09-21 17:51:59
0
salam25k
Dada's Trendy❣️ :
nurse mm niko n 9 months edd zote imebk 22 sept itakuwajee ina uwezekano kuzaa n miex kumi😳
2026-09-20 11:31:46
0
mamy.naa817
Mamy naa :
upo wapi
2026-09-24 09:50:39
0
pauldaughter4
Official p🥰🥰 :
ila wee nurse mungu akupe maisha ya furaha na amani katika kazi yako ulinihudumia vizur sana
2026-09-22 17:02:24
0
sabraomary463
sabraomary :
@mambo
2026-09-20 12:30:41
0
user1347549242620
mrs🎀fadhir🥰💞💖 :
me jmn nataman kuwa mama ☺️
2026-09-20 11:38:12
0
kidungura.makame
Kidungura Makame :
nurse unapatikana wapi
2026-09-23 09:09:01
0
shumbana05
Shumbana :
Mimi nataka dawa kiasi gani dear?
2026-09-20 13:00:27
1
user3533307803194
siku :
nikibeba zinatok
2026-09-22 15:03:28
0
user3309435381578
Veronica :
namba tafadhari
2026-09-21 15:58:56
0
presseszuuh
Bbyzuh💔 :
Mimi
2026-09-20 11:20:57
0
shembeya
mamu :
naomba kujuwa dawa kama zipo famas niende madm
2026-09-21 12:45:35
0
jackliniambross
Jacklini Ambross :
nina tatizo la hormonal imbalance
2026-09-21 11:26:28
0
majata85
majata jr 🫶 :
homon zimeshuka sana pia pireod zangu zimekata ni mwaka sasa msaada doctor maana ninamiaka 40 sasa sijui uzee tayali au matatizo ya mfumo wa uzazi
2026-09-22 05:15:00
0
mamandeplusieursenfants2
LC wif :
mimi hapa dada
2026-09-24 12:56:04
0
mustafakichonga
hasna khamis :
nataka kuitwa mama na Mimi nakupataje jamani
2026-09-24 08:57:00
0
fidelina.fidel.fi
Fidelina Fidel fidelina :
nataman nikutafte nina changamoto ya hormones Ila pesa kpengele miaka tisa sasa
2026-09-21 13:14:25
0
semlingwa
MRS Mzanzibar :
natamani
2026-09-21 10:06:14
0
imelda.ngonyani
imelda ngonyani :
naomba na mimi
2026-09-21 10:00:44
0
rahmasalum309
rahmasalum309 :
mm
2026-09-21 09:58:39
0
user1438548281925
Mrs sule :
ok
2026-09-20 11:56:38
0
To see more videos from user @nurse__tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About