sisi tushai chinja kuku tukashindwa kumaliza tukatupa😂😂
2026-09-20 14:37:06
6164
Trizah Mumal :
tulipika chipo na my brother, ile mafuta ilibaki tukaona tutashikwa nikamwambia tumwage akasema hio mafuta inanukia chips hawezi mwaga akaikunywa... akasikia vibaya akakunywa maji baridi😂 nilimpata amelala kwa shamba anahara huku akitapika. ilibidi nijiseme kwa mathee apelekwe hospitali😂😂😂
2026-09-21 05:39:34
1995
HUMBLE AFRIKAN :
Akaamua kupika duvet moja ya kurudishia mwili shukrani😄😄
2026-09-20 18:10:10
2914
7 :
unajaribu soft life kidogo umepatwa
2026-09-20 11:24:14
2461
s❤️ta🦋r❤️ :
😂tushaiboil mayai kumbe ndani ilikuwa na vifaranga 😹
2026-09-21 06:17:48
302
Sales in Gulf :
I remember tushai chukua mayai za kuku akiwa amelala tukachemsha zote tukashindwa kumaliza ikabidi kuku imelalia mayai boiled
2026-09-21 15:43:49
60
🪶🦋🐝 :
memories 😂😂😂nshaikojolea moto izime kabla tupatwe sema kuchomwa thighs na ile jivu 🥺😂😂
2026-09-21 08:05:09
128
WARIDI🌹 :
niliwai tumwa ninunue chipo mamangu alikuwa na marafiki wake watatu so wote tulikuwa watato nikapewa 100 niendee chipo tano nikafika kwa kibanda ya chipo nikamwambia niuzie chipo ya hii pesa since hizo time chipo zilikuaga 20 akajua tu ni tano mimi kuona tano nikaanza kuhesabu watu wako kwa nyumba naona ni wanne nikachukua ile ya tano nikaongeza kwa yangu,kufika kwa nyumba nikawekelea zao hapo na nikaanza kukula zangu then naskia rafiki mmoja wa madhe akisema kwani umenunua chipo ngapi najaribu kuwaelezea of course sikuwa najua kile hata mm nasema juu nilihesabu watu na walikuwa wanne shida ni sikuwa najihesabu...sijui kama munanielewa
2026-09-21 03:50:06
232
Harmony😍🤍 :
nishawai tumwa mchele ya kilo ,ilikuanga mia....alfu mi najua duka fulani ilikua inauzwa 80 so nikajua twenty ni yangu, nilianza na kubuu ngumu za twenty kufika kwa duka ya chele ya 80 napata hana imeisha,it was a rough day for me😭😂😂😂.....
2026-09-21 16:04:15
55
Keffa Whykii :
Kwani me udo?😂😂😅😅😅
2026-09-21 20:42:01
5
Her🌹 :
Eeeh mandugu na mabwana all I can say is you were problematic kids 😂
2026-09-21 16:17:02
2
kidd🤍 :
Making a five star meal😂😂
2026-09-21 04:52:17
2
koffilegeneral :
Mimi na neighbours son tulipika popcorn kienyeji gorogoro mbili ikatushinda kumaliza tukaweka kwa mfuko .tukaanza kuzimwaga pole pole Kuku zikitufwata zikikula😅.tulishikwa kwa sababu ya suspicions mbona kuku zinatufwata
2026-09-21 09:55:34
94
i am_joseph 🇺🇸 :
bora ametimiza mahitaji ya moyo wake[Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-21 11:15:03
1
Talash💅✨️ :
I once cooked ugali and bahati mbaya unga ikakua excess 2kg and I hid the ugali under the bed ndio nisipigwe
2026-09-21 10:37:09
0
ndash amira 001 :
mimi na cousin yangu tulikuwa tunachinja kuku za mzai na tunaeka manyoya kwa choo😂😂😂
2026-09-20 20:12:46
5
🦋 Dollarbae ♥️ :
huyu n mm back 2019 nikiwa class 8
2026-09-21 12:04:30
2
CommentCreator :
😅 My laaawwd
2026-09-21 07:15:54
1
Mchina :
tushai pika chapo😅..tuka kula tukaosha viombo..kumbe harufu ilibaki bana😂
2026-09-20 11:32:39
1698
mylifestylefemmie :
My sister used to cook neighbors chickens 😅 tunatupa manyoya kwa choo
2026-09-21 07:37:13
776
🦋Mwende♥️🦋 :
nimewahi chuna mahindi mbichi kwa shamba kama haziko ready😹😹 na ulikuwa usiku nikipika nachoma nikuoe before food iive nikaskia mzae akikohoa kaa anakuja nilitoka na hio mahindi mbio nikaenda nikairusho juu ya roof y jiko n ilkw ya nyasi nasikuwa najua kama imebeba makaa moto na nikarudi ndani nikiwa hapo naona moto kwa roof😹😹😹nikatoa food nikapeleka kwa nyumba wacha sasa waanze kuzima moto😹😹mm nko tu kando asubuhi wakapata mahindi imeanguka ndani 😹lkn niliwasaida atleast walieka roof ya mabati😹😹😹💔
2026-09-21 02:46:21
347
Jepkorir 💎➿ :
Sisi tushai fry maharagwe tukidhani itakua njugu
2026-09-20 18:33:54
636
living logo :
wale wa chipo mko wapi😂
2026-09-20 19:03:16
231
Imani :
Mimi niliiba one bob ile ilikua ya yellowish nika eka kwa mdomo ndo nikitumwa kwa duka ninunue sweets zingine zilikua za mint za green kufika kwa mlango nikameza by mistake ikaninyonga my mom aka nigonga ngumi ya mgongo nikaitapika . Iyo siku niliona kifo na macho😂🤣🤣
2026-09-21 13:54:55
9
👑Sir.ʜᴀɴᴅsᴏᴍᴇ 𝐁𝐑𝐀𝐍𝐃𝐒 👑 :
I used to do this today im a lawyer in the making and the best fashion model 2025-2026
2026-09-21 10:37:32
39
To see more videos from user @collo_2.54, please go to the Tikwm
homepage.